Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Apo umenenaKaria sio kiongozi ni mzimu wa ccm.
Kuna mda unajiuliza na haya madudu yote karia bado ni kiongozi kama nchi tunasafari ndefu sanaKaria sio kiongozi ni mzimu wa ccm.
Kila aina ya ujinga muufanyao anaangushia yeye, huoni rundo la mazuri yake au watu mnayo maradhi ya asili yasiyotibikaKiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa
Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point
Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa tuache kubembelezana na unafki na hii tabia ya unafki inatufanya hata kupiga vita umaskini inakua ngumu sana
Kama kweli tunataka mpira wa Tanzania ufike mbali karia hafai kuendelee kuwa kiongozi
Sahivi kuna timu mbili watu wanajiamulia watakavyo lazima watu waambiwe bila wao ligi itachezwa tu tuache mambo ya kubembelezana
Maadam anaorganize mashabiki kuingia na picha za mama mitano tena, anawafaa ccm hata kama anaharibu soka.Kuna mda unajiuliza na haya madudu yote karia bado ni kiongozi kama nchi tunasafari ndefu sana
Mabaya ni mengi kuliko mazuri ligi gani kila mtu ni kambaleKila aina ya ujinga muufanyao anaangushia yeye, huoni rundo la mazuri yake au watu mnayo maradhi ya asili yasiyotibika
Kwakua viongozi waliopita, nani amekua na mafankio zaidi ya karia kiasi cha sisi kutupatia ujasiri wa kumkataa?Mabaya ni mengi kuliko mazuri ligi gani kila mtu ni kambale
Mafanikio aliyoyapata ni kwa sababu tu dunia imebadilika kwenye afcon zamani ilikuwa ni nafasi 16 ila sahivi ni 24 ndo maana inakuwa ni rahisi kwa sisi kufuzuKwakua viongozi waliopita, nani amekua na mafankio zaidi ya karia kiasi cha sisi kutupatia ujasiri wa kumkataa?
Hio ndo point yangu huwezi ongoza ligi ukiwa na double standard kubwa hivyoKanuni zimewekwa kwa ajili ya kuwaadhibu vilabu vingine na hapohapo kuzipendelea simba na Yanga
Yanga na simba wote ndo wanaoaribu mpira wa Tanzania ukianza kusema huyu huyu ni mwema alafu mwingine anakosea unakoseaMpira wa Tz hauwezi kukua hadi timu ya Yanga na followers wake waaadhibiwe kwa uhuni wanaofanya mara kwa mara, Simba wanafanyiwa fujo nyingi sana yule mkuu wa mkoa wa mwanza nae kisa ni shabiki wa yanga alienda kuwafanyia simba fujo mazoezini.
Jana tena simba kafanyiwa fujo na mabaunsa wa Yanga , bado mambo mengi Yanga wanafanya ikiwepo upangaji wa matokeo kuna timu huko singida iliamua kupanga kikosi ambacho siyo cha ushindani ili kupanda matokeo yanga ishinde, ujinga kama huu ndo maana Yanga inaishia kucheza ligi ya ndani tu kimataifa itaendelea kuwa na maisha magumu sana
usifuge matatizo mkuuKila aina ya ujinga muufanyao anaangushia yeye, huoni rundo la mazuri yake au watu mnayo maradhi ya asili yasiyotibika
Sasa kosa la refa kutoa kadi ni la timu au refa?Yanga na simba wote ndo wanaoaribu mpira wa Tanzania ukianza kusema huyu huyu ni mwema alafu mwingine anakosea unakosea
Mfano mechi ya namungo refa kaaribu mechi maksudi kwa kutoa kadi ya uongo hata bodi ya ligi wamethibitisha ni ya uongo
Yanga wanamakosa mengi nikisema niyaandike sitayamaliza
usifuge matatizo mkuu
Kweli bhana team zinajiamulia kana kwamba hakuna mamlaka za kusimamia ligiMpira wa Tz hauwezi kukua hadi timu ya Yanga na followers wake waaadhibiwe kwa uhuni wanaofanya mara kwa mara, Simba wanafanyiwa fujo nyingi sana yule mkuu wa mkoa wa mwanza nae kisa ni shabiki wa yanga alienda kuwafanyia simba fujo mazoezini.
Jana tena simba kafanyiwa fujo na mabaunsa wa Yanga , bado mambo mengi Yanga wanafanya ikiwepo upangaji wa matokeo kuna timu huko singida iliamua kupanga kikosi ambacho siyo cha ushindani ili kupanga matokeo yanga ishinde, ujinga kama huu ndo maana Yanga inaishia kucheza ligi ya ndani tu kimataifa itaendelea kuwa na maisha magumu sana
Kosa la kupanga kikosi dhaifu ni la Singida au Yanga?Sasa kosa la refa kutoa kadi ni la timu au refa?