Karia nae amekuwa kanuni sasa.RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao.
Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za msimu uliomalizika wa mwaka 2022-2023 iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Juni 13, 2023.
Hii Kauli aliiongeea muda Gani.. coz Mimi niliangalia kuanzia mwanzo hadi karibia na mwisho.. walipmtaja MVP nikaondka sikusikia hii Kauli au alirud Tena kwwnye Mic mwishoni??RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao.
Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za msimu uliomalizika wa mwaka 2022-2023 iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Juni 13, 2023.