Kariakoo Derby 13/08/2022

Kariakoo Derby 13/08/2022

Wee EPL unaijua au unaisikia??? Au unajitoa ufahamu??

Wenzake wamekuwa makocha, yeye alikua ktk kiwanda cha bia alifukuzwa kisa wizi, eti leo anacheza?? Unajua km huko EPL hakudumu wakimkataa kisa maradhi???.

Endelea kujitoa ufahamu hivyo hivyo. Yule hana uwezo wa kuhimili game ya Derby, km mie muongo kesho awepo afu utakuja uniambie.
Unasema hakucheza mara hakudumu manake nicheke kwanza.

Unadhani ni celebrity utudanganye kuzushia watu mashoga sio?
Huku ni facts tu hizo porojo unadhani nani atakuamini story za vijiweni unadhanigi kila mtu kilaza kama wewe 😂😂

Hakuna la ukweli hata moja upuuzi na hearsay tupu.
Sisi tumemuona akicheza labda ulikuwa kwenu songea unalima😂😂

Tutaona kama akipangwa ingawa ni ngumu sababu ya ugeni.
 
Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Unataka ije takataka ambayo ata ku turn haiwezi kama Lwanga?
 
Mbona wachezaji wamezidi?
Haijazidi mkuu, 3-4-2-1 , idadi ni wachezaji 10. 3- Inonga Quattara na Onyango 4- Kapombe, Hussein, Okwa na Chama 2- Sakho na Okra 1 - Phiri . Hapo Kapombe na Hussein wawe wanacheza deeper tukishambuliwa! Pia game plans zianzie kwao....
 
Unasema hakucheza mara hakudumu manake nicheke kwanza.

Unadhani ni celebrity utudanganye kuzushia watu mashoga sio?
Huku ni facts tu hizo porojo unadhani nani atakuamini story za vijiweni unadhanigi kila mtu kilaza kama wewe [emoji23][emoji23]

Hakuna la ukweli hata moja upuuzi na hearsay tupu.
Sisi tumemuona akicheza labda ulikuwa kwenu songea unalima[emoji23][emoji23]

Tutaona kama akipangwa ingawa ni ngumu sababu ya ugeni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuhusu maradhi ya ini, ni uongo?? Nenda Google ukapate somo, tena utaelezwa wazi wazi mie nimzushie maradhi ili nigundue nn??

Sasa hii ya celebrity imeku touch vipi nawee ni shoga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda uko kwenye industry, sijasema hajacheza, nimesema hakudumu, na alio chezaa nao yeye wengi ni makocha sahiv, au yanga imemtoa New castle ??? Na nikuulize baada ya kutoka huko New castle alienda wapi???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nileteee hizo facts zako nizione hapa. Unanichekeshaga sanaa, kidampa ukae utulie.
 
Ulivyo mjinga unadhani haya ni matusi? Ngozi yangu ngumu sana 😂
Je lazima yeye awe kocha? Alicheza na arteta nae sasa ni kocha
Mbona Husemi Ronaldo alicheza na Rooney,kampany nao ni makocha mbona bado anacheza?

Messi amecheza na xavi na xavi ni kocha mbona Husemi?

Vitu vingine unalazimisha ujinga kana kwamba wote tunafanana na story zako za kijiweni 😀😀

Bigirimana tumemtoa wapi kwani saido tulimtoa wapi? Si alikuwa hana team the same to bigi?

Ushabiki wa kishamba sana umekujaa kwanza hata mpira wenyewe hujui napoteza nguvu tu bure hapa kakae na kolo wenzio huko 😂😂😂

Mtu ulikuwa hata hujui kuna tofauti kati ya team za luanda na Agosto chaiiii 😂😂
 
Ulivyo mjinga unadhani haya ni matusi? Ngozi yangu ngumu sana 😂
Je lazima yeye awe kocha? Alicheza na arteta nae sasa ni kocha
Mbona Husemi Ronaldo alicheza na Rooney,kampany nao ni makocha mbona bado anacheza?

Messi amecheza na xavi na xavi ni kocha mbona Husemi?

Vitu vingine unalazimisha ujinga kana kwamba wote tunafanana na story zako za kijiweni 😀😀

Bigirimana tumemtoa wapi kwani saido tulimtoa wapi? Si alikuwa hana team the same to bigi?

Ushabiki wa kishamba sana umekujaa kwanza hata mpira wenyewe hujui napoteza nguvu tu bure hapa kakae na kolo wenzio huko 😂😂😂

Mtu ulikuwa hata kuna tofauti team za luanda na Agosto chaiiii 😂😂
Achana naye huyu huwa anapenda story za kimbeya mbeya sana na ligi isiyo na mashiki, hujawahi mstumia nini?
Utapotwza bure rasilimali muda wako kwa kishoiya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuhusu maradhi ya ini, ni uongo?? Nenda Google ukapate somo, tena utaelezwa wazi wazi mie nimzushie maradhi ili nigundue nn??

Sasa hii ya celebrity imeku touch vipi nawee ni shoga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda uko kwenye industry, sijasema hajacheza, nimesema hakudumu, na alio chezaa nao yeye wengi ni makocha sahiv, au yanga imemtoa New castle ??? Na nikuulize baada ya kutoka huko New castle alienda wapi???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nileteee hizo facts zako nizione hapa. Unanichekeshaga sanaa, kidampa ukae utulie.
Mlongo, mbolimboli..!!! 😂 😂 😂
 
Achana naye huyu huwa anapenda story za kimbeya mbeya sana na ligi isiyo na mashiki, hujawahi mstumia nini?
Utapotwza bure rasilimali muda wako kwa kishoiya
Umesema kweli chief napoteza muda sioni anachobishia ni nini ikiwa mambo yapo wazi yaani yanga wasajili mgonjwa?

Sisi acha tumpotezee yaani mweupe sana halafu anajikuta anajua unabaki kushangaa sana

Nadhani zile story zake za kimbea kule celebrity ndio zinamfaa huku ameparamia tu..
 
Ulivyo mjinga unadhani haya ni matusi? Ngozi yangu ngumu sana [emoji23]
Je lazima yeye awe kocha? Alicheza na arteta nae sasa ni kocha
Mbona Husemi Ronaldo alicheza na Rooney,kampany nao ni makocha mbona bado anacheza?

Messi amecheza na xavi na xavi ni kocha mbona Husemi?

Vitu vingine unalazimisha ujinga kana kwamba wote tunafanana na story zako za kijiweni [emoji3][emoji3]

Bigirimana tumemtoa wapi kwani saido tulimtoa wapi? Si alikuwa hana team the same to bigi?

Ushabiki wa kishamba sana umekujaa kwanza hata mpira wenyewe hujui napoteza nguvu tu bure hapa kakae na kolo wenzio huko [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu ulikuwa hata hujui kuna tofauti kati ya team za luanda na Agosto chaiiii [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa unapovukwa sanaa, afu unadhan eti ukitoa povu bas kuna mtu ataku gwayaaa, nimekuuliza hivi baada ya kutoka New castle alienda wapi?? Au unadhan Ronaldo na Messi sijui km walicheza na watu ambao kwa sasa wengine ni rais wa shirikisho la nchi zao??

Nataka unijibu baada ya kutoka new castle, muendelezo wake ulikuaje, hadi kuja kutua Yanga. Usikimbie hili swali toa jibu, nataka kuona facts zako, hayo mengine hata wee una errors nyingi tyuuh. Tena huwa unatoa habari huna hakika nazo, ukiulizwa uthibitisho unakimbia, unasubiri had ziwe halali, ndo unajifanya kurudi kuchachamaa ukitoa boko unakimbia mazima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au na kuhusu kuwa ktk kiwanda cha bia ni uongo??? Sasa leo aingie ndani acheze, afu tutarudi kuulizana hapa, km anaweza game la mikiki ya Derby.
 
Mlongo, mbolimboli..!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo, anadhan hatujui habari za bigirimana wake tangu akiwa new castle, hadi sababu iliyomtoa palee, na nini kilifuata ktk carrier yake soka. Hadi anatua jangwani.

Woiiiiiiih.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa unapovukwa sanaa, afu unadhan eti ukitoa povu bas kuna mtu ataku gwayaaa, nimekuuliza hivi baada ya kutoka New castle alienda wapi?? Au unadhan Ronaldo na Messi sijui km walicheza na watu ambao kwa sasa wengine ni rais wa shirikisho la nchi zao??

Nataka unijibu baada ya kutoka new castle, muendelezo wake ulikuaje, hadi kuja kutua Yanga. Usikimbie hili swali toa jibu, nataka kuona facts zako, hayo mengine hata wee una errors nyingi tyuuh. Tena huwa unatoa habari huna hakika nazo, ukiulizwa uthibitisho unakimbia, unasubiri had ziwe halali, ndo unajifanya kurudi kuchachamaa ukitoa boko unakimbia mazima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au na kuhusu kuwa ktk kiwanda cha bia ni uongo??? Sasa leo aingie ndani acheze, afu tutarudi kuulizana hapa, km anaweza game la mikiki ya Derby.
Nathibitisha hujui kitu, ndiyo hujui kitu
goodbye....😂😂
 
Nathibitisha hujui kitu, ndiyo hujui kitu
goodbye....[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilijua lazima ukimbie, wee c ndo una facts ndo nazitaka ili mie nisiejua kitu, nipate kuelewa mambo.

Eti nawee unakimbia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!!
 
Mkude
Mzamiru
Kanoute
Akpan
alafu bado unadai Simba hakuna viungo wakabaji!? Rejea final ya FA pale Arusha ujionee balaa la Akpan

Hakuna eneo lililovizuri sasa hivi pale simba kama katikati na ukuta. Mbele kidogo ndio tua maji tia maji.
Mkuu kutoka 3-3 haimaanishi Coastal alifanya vizuri kati pale. Alizidiwa kila idara huyo Coastal acha ushabiki maandazi, Akpan alifanya nini katikati siku ile?? Yanga walipata magoli mawili kupitia kati kati, wakati Coastal magoli walipatia pembeni, moja ikiwa kaunta.

Mpira hujui mzee.
 
Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Wewe ndio ukatazame.
Mzamiru ni namba 10 kbl hajaja simba ndio namba yake alikuwa akicheza huko alikotoka (mtibwa). Hata simba kuna game huwa anacheza mbele ya viungo wawili wakabaji. Game vs Mbeya city last season km nakumbuka vzr kulikuwa na mkude, kanoute na mzamiru mbele yao. Hata mtandaoni utakuta wamekuwekea main position ni central md na attacking md km other position.

Hao wengine ndio pure Dm's. Ijapokuwa hata mwenyewe mzamiru anacheza vzr hiyo nafasi tatizo lake ni kwenye kudrive tim mbele hayuko vzr kwenye upigaji wa pasi.
 
Jifunze mpira hao wote wanafanana ni wazuri wakiwa na mpira,hawawezi kukaba na ni wazito.Simba ilikuwa na kiungo bora alivyokuwepo Kotei,Fraga na Lwanga
Kanoute hajui kukaba!? Akpan hajui kukaba!? Mzamiru hajui kukaba!? Bro wewe ndio ujifunze mpira. Balaa la akpan hukuliona msimu uliopita lbda. Katika wote hao lbd mkude ndio yupo slow na akicheza holding hamna shida kama mwenzake atakuwa fasta.

Usisahau pia kipindi cha kotei, fraga, lwanga simba ilikuwa na best attacking middlefield pamoja na striking hivyo kupunguza kazi kwa viungo wa kabaji kwa kiasi kikubwa. Kma wanavyosema wenyewe "attacking is the best way of defending".
 
Mkuu kutoka 3-3 haimaanishi Coastal alifanya vizuri kati pale. Alizidiwa kila idara huyo Coastal acha ushabiki maandazi, Akpan alifanya nini katikati siku ile?? Yanga walipata magoli mawili kupitia kati kati, wakati Coastal magoli walipatia pembeni, moja ikiwa kaunta.

Mpira hujui mzee.
We unaejua mpira unacheza namba ngapi pale man cty!? [emoji1787][emoji2957]

Ile siku pale kati akpan aliwapoteza vbyvby! Aucho kama hakuwepo vile. Sasa Akpan utamfananisha na huyo mzee wa [emoji1060] mliyepewa bure!?
 
Hujui mpira mzee, Coastal ilizidiwa kila kitu.
 
Uongo Ilizidiwa wakati mlikua mnfanya kuchomoa magoli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mshukuru penalties tyuuh.Khaaaaaa
 
Back
Top Bottom