Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
SAWATulia ww utopolo kesho maji mtaita nyaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWATulia ww utopolo kesho maji mtaita nyaa
Mkude ni mzuri pale timu inapomiliki mpira. Ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi kwenda mbele hasa pasi zake ndefu. Kwa kukaba sio mzuri sana, endapo timu ikawa na wachezeshaji wazuri, Definitely utamuona Mkude akitembea vyema pale kati.Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
..Simba hawezi fungwa na vibonde wa Sopu na vipers .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
..Simba hawezi fungwa na vibonde wa Sopu na vipers .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
beauty beautySimba hawezi fungwa na vibonde wa Sopu na vipers .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hao chama, sakho, kanoute hua derby wanapoteana. Mkude ndo mwamba wa yote, derby ndo kitu anapenda.
Wakutegemewa ni akpan, na huyo ashajulikana. Hato shine.
Beki za Yanga esp Mwamnyeto ndo wasiwasi uko hapo akiwa na combo ya Bangala. But Bangala akicheza mbele yao Mwamnyeto na Job mambo yatakua safi.
Nabbi akianza na ile first 11 ya siku zote simba anakalishwa mapema ila akianza na akina Azizi, Lomalisa, Morrison aaah, mapema anakalishwa hakuna chemistry yyte pale.
Ahadi ni deni! Mtumie hiyo hela haraka!Nitakupa elf 10
Mayele anakusalimia!Simba hawezi fungwa na vibonde wa Sopu na vipers .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nani kwishaaaaa 🤣🤣🤣Onyango Inonga na Quattara wacheze kama walinzi kwenye mfumo wa 3-4-2-1. Kapombe, Hussein , Okwa na Chama pale kati then Sakho na Okra wasimame nyuma ya Phiri. Hapo Uto hawachomoki, sub ya phiri weka Mzungu, Sakho na Okra wajiandae Banda na Kibu D kwishaaaaa [emoji1][emoji1]