Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Unasema hakucheza mara hakudumu manake nicheke kwanza.Wee EPL unaijua au unaisikia??? Au unajitoa ufahamu??
Wenzake wamekuwa makocha, yeye alikua ktk kiwanda cha bia alifukuzwa kisa wizi, eti leo anacheza?? Unajua km huko EPL hakudumu wakimkataa kisa maradhi???.
Endelea kujitoa ufahamu hivyo hivyo. Yule hana uwezo wa kuhimili game ya Derby, km mie muongo kesho awepo afu utakuja uniambie.
Unadhani ni celebrity utudanganye kuzushia watu mashoga sio?
Huku ni facts tu hizo porojo unadhani nani atakuamini story za vijiweni unadhanigi kila mtu kilaza kama wewe ππ
Hakuna la ukweli hata moja upuuzi na hearsay tupu.
Sisi tumemuona akicheza labda ulikuwa kwenu songea unalimaππ
Tutaona kama akipangwa ingawa ni ngumu sababu ya ugeni.