Kariakoo Derby 13/08/2022

Katazame tena viungo tunaowaita wakabaji paLe simba naturally sio defensive may be mzamiru kwa mbaLi buT wengine wote not defensive
Mkude ni mzuri pale timu inapomiliki mpira. Ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi kwenda mbele hasa pasi zake ndefu. Kwa kukaba sio mzuri sana, endapo timu ikawa na wachezeshaji wazuri, Definitely utamuona Mkude akitembea vyema pale kati.
 

Tatizo wabongo mnajulia mpira mdomoni. Ety Hawana Chemistry nzuri. Hiyo Chemisry unaijua? Au umeongea kufurahisha genge.

Watanzania tuacheni ujuaji kwenye mpira sisi fani yetu uzizi tu basi[emoji23][emoji23]
 
Nani kwishaaaaa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…