KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.

Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team haraka iwezekanavyo.

Pesa ikutese, mapenzi yakutese, jua likutese, na football team pia ikutese? Sema hapana!

RIGHT MARKER
Dar es salaam.
 
Ukiwa mpenzi wa timu ya mpira lazima ujue matokeo ya mwisho baada ya mechi kuisha(kufunga,kufungwa au sare). Hii ikiwa na maana kuwa hakuna lisilojulikana, ni kujiandaa kwa lolote.
 
KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.

Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team haraka iwezekanavyo.

Pesa ikutese, mapenzi yakutese, jua likutese, na football team pia ikutese? Sema hapana!

RIGHT MARKER
Dar es salaam.
mbona hueleweki upo timu gani?
 
Ni kupoteza muda kushangilia team za CCM.

Simba na Yanga ni mali ya CCM na hutumika kama tools za kuhadaa watanzania, wasifuatilie mambo muhimu ya nchi yao.

Soka ni burudani na biashara lakini kwa Tanzania soka halina uhalisia bali ni Moja ya chombo cha CCM kinachotumika kuendelea kuibakisha CCM madarakani.
 
Back
Top Bottom