KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.
Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team haraka iwezekanavyo.
Pesa ikutese, mapenzi yakutese, jua likutese, na football team pia ikutese? Sema hapana!
RIGHT MARKER
Dar es salaam.