Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Naangalia game nashangaa zipiiii
Kuwashwa remote nashangaa unit zipo


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38] Mama mwenye nyumba kazima main switch [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787]wanatabu leo hawa

kelphin kepph
 
Sina huo muda hasira zangu nazimalizia hapa. Labda hawa tff wako hapa

Bado hautokuwa umelisaidia Soka la Nchi yako.Ikiwa unahisi au una hakika ya Jambo fulani unaloona sio sahihi katika Soka letu ni vyema ukachukua Hatua Mkuu.Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Simba na Yanga wanacheza pia katika Timu ya Taifa.

Bado sisi ni wamoja.
 
Hata hizo nguo vua... Waachie wazungu... Wewe endelea kuvaa ngozi na majani
Inashangaza sana kila kitu kukopi kwa mkoloni.
Kwani ile phrase yetu ya enzi na enzi ' watani wa jadi' walihisi imepitwa na wakati!?

Haya mimi sitaki kuwa mfuata mkumbo kuongea au kurukia vitu nsivyovielewa. Nielewesheni Kariakoo Derby maana yake nini hasa...na kwanini!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_15781252108057116.jpg
 
Back
Top Bottom