Sina huo muda hasira zangu nazimalizia hapa. Labda hawa tff wako hapa
Inashangaza sana kila kitu kukopi kwa mkoloni.
Kwani ile phrase yetu ya enzi na enzi ' watani wa jadi' walihisi imepitwa na wakati!?
Haya mimi sitaki kuwa mfuata mkumbo kuongea au kurukia vitu nsivyovielewa. Nielewesheni Kariakoo Derby maana yake nini hasa...na kwanini!??
Kahirizi kumbe nako ni kadawa!! Ndo najua Leo😂Tulia dawa ikuingie.
Yule ni wakuambiwa atafute timu mapema kabla usajili haujafungwa.
Simba hawana nguvu tenaAiseeee siamini kama vyura wametoboa cc hajar
Simba pumzi imezima,hawa simba sio wa kutufunga sisi.Yanga hebu waongeze la tatu tumalize kazi.Simba hawana nguvu tena
kelphin kepph