Hii ni sawa na ile Man U kuchukua point moja kwa Liverpool wakashangilia kama wamechukua ubingwa
Wanashangilia BAO 2 maridaadi kabisa walizofunga wenyewe kwa nguvu zao, dhidi ya goli 1 + 1 kutoka upande wa Simba!Yanga wanashangilia draw, inaonyesha nikiasi gani wanavyoiogopa Simba mnyama
Ukaishia kubebwa na refaYanga wanashangilia draw, inaonyesha nikiasi gani wanavyoiogopa Simba mnyama
Na Bado mtaongea yote
Sijui wanamoendea nini Manula, ana makosa mengi sanaManula akipangwa gemu yoyote ya Simba siendi Uwanjani tenaa shenzi kabisaaaa
Mtasema yoteDaima I prefer Kakolanya...huyu Manula wanamnaua sana kama jina lake.
Simba watamfukuza Kocha soon very soon.Huyu kocha hatamaliza mwaka.Bravoooooo Charls bonoface Mkwasa.
Pazia l Simba lile
HAPANA jamanii