Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ongeza sauti jamani
 
Simba misimu miwili iliyopita tulibeba points 4 kwa Azam na Vyura 4 tukawa mabingwa na msimu huu tayari kwa Azam tuna 3 Vyura 1
.
Endeleeni kushangilia draw
 
Pongezi kwenu Vyura hakika mmejikaza sana la sivyo mngeondoka na aibu.

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Japo Mimi simba ila goli la Balama nimeshangilia kwa hisia kweli,sijui sijui simba wenzangu watanichukuliaje .
 
Barcelona ile ya Mbagala au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…