Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Second half tulipotea sana, walituwin katikati ndio maana wakapata magoli mawili ya haraka haraka, all in all nawapongeza Yanga na pia Mkwasa anastahili kweli kuitwa Master.
 
IMG_20200104_193100.jpg
 
Nafurahia jinsi droo tulivyoipata mzee yaani booonge la comeback hahahahaha polen mikia
Ni blunder za Manula tu hizo he got nothing new to offer kwa klabu.
Next time hutoki umechezesha wachezaji wako wapya sijachezesha hata mmoja fureshi.
.
Ila Manula mamake
 
Wiki moja kabla ya mchezo wa leo Yanga waliitwa underdogs kuwa hawana chochote wala lolote.

Licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Simba leo wamepata aibu/ majibu yao kuwa Yanga ni muziki mwingine na sio timu ya kubezwa.

Aliyewaangusha katika mchezo wa leo ni kipa Manula. Mpira unapigwa mita 30 kutoka golini lakini anashindwa kuuzuia.

Tafuteni kipa mrefu huyo mliye naye anawaangusha. Mtambue leo kuwa Yanga ni muziki mwingine sio kama mnavyofikiria.

Hongera sana kocha Charles Boniface Mkwasa Master.
 
Back
Top Bottom