Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Mkuu mwenyewe nimeumia sana na haya matokeo, sijui kama nakosea ila sina Iman siku zote na Aishi Manula.
jamaa kazingua Sanaa lakn itatupa funzo kutoingia na Matokeo mfukon na kujiamini kupita kias kucheza uku tumemzarau Yanga ni kosa kubwa
 
FB_IMG_1578155929058.jpg
 
Back
Top Bottom