Wiki moja kabla ya mchezo wa leo Yanga waliitwa underdogs kuwa hawana chochote wala lolote.
Licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Simba leo wamepata aibu/ majibu yao kuwa Yanga ni muziki mwingine na sio timu ya kubezwa.
Aliyewaangusha katika mchezo wa leo ni kipa Manula. Mpira unapigwa mita 30 kutoka golini lakini anashindwa kuuzuia.
Tafuteni kipa mrefu huyo mliye naye anawaangusha. Mtambue leo kuwa Yanga ni muziki mwingine sio kama mnavyofikiria.
Hongera sana kocha Charles Boniface Mkwasa Master.