Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc: Jolie Joliesijawai kushabikia yanga na haitakaa itokee.
.....ila nimeacha ushabiki muda sana.
hahhahaa yaani unanichekesha si kdg, kama hili ni kosa basi refa awapige kadi hao wachezaji 6 wanao mkaba okwiSasa kwanini timu nzima (yanga)jicho lao liwe kwa okwi peke yake?
Aah...babe ww mwenyewe unajua jinsi gani ya kuniondoa uchungu moyoni...hapa sina wasiwasi kabisaa hata nifungweje najua utanipoza tuu...[emoji4][emoji4]hahaha haya, lkn uwe umeshabikia timu itakayofunga ss....usinijie na mauchungu ya kufungwa mm.
Kashasha huyo.Nimeipenda sana hii
Kwa kuishi kwenye mafurikoUtamkumbuka marehemu kwa lipi?
[emoji20][emoji20][emoji20]sijawai kushabikia yanga na haitakaa itokee.
.....ila nimeacha ushabiki muda sana.
Haha[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]