Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Sisi soote ni ndugu bhanaaNdiwooooo hayupo yanga kwahiyo mm na ye ni ndugu [emoji16][emoji16]
Mfyuuuuuu we mwanayanga sio ndugu yangu kabisa yaani me na wewe chui na pakaSisi soote ni ndugu bhanaa
Lahaulaaa lakwataaaa!!!!Mfyuuuuuu we mwanayanga sio ndugu yangu kabisa yaani me na wewe chui na paka
Asnte simbaa yan hta kona hawajapigaaa. Na VP Yule alieshushwa na mungu alkuepooo
Dear naon huku nimekupapasa kule nikakupoza baada ya kumnyoosha babu 2-1.Ngoja nikanywe soda zangu mie still naipenda yanga daimaView attachment 760644
Dear naon huku nimekupapasa kule nikakupoza baada ya kumnyoosha babu 2-1.
teh teh teh aya bhan.Aaah nimemuhurumia babu wa watu anasepa kwa kipigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] congrats mkuu
mbona kitambo tu mzee baba simba 1_0 yanga.Mpira umeisha?
YeaaahMsalimie Mzee baba mshana,.
Ewaaaa! U made my nite Jolie! Ungekuwa karibu ningekupa boooonge la zawadi!! Tungeshereheka ki-Simba haswaaa!
Japo hiyo siyo ya leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaa! U made my nite Jolie! Ungekuwa karibu ningekupa boooonge la zawadi!! Tungeshereheka ki-Simba haswaaa!