KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Mvua ya leo haikunyesha bure na hata mamlaka ya hali ya hewa hawajaweza kuiona kabisa.
 
IMG-20180429-WA0026.jpg
 
Mmh semen ukweli ka ushindi ka leo hamkutegemea kupata ka goli ka moja tu tena okwi akiwepo daah ushind wenu tunauona kama hivi tu
30604878_211565149618557_8516482052713873408_n.jpg

Asnte simbaa yan hta kona hawajapigaaa. Na VP Yule alieshushwa na mungu alkuepooo
 
Ahsante sana Simba naona mji umepoaaa...naona tumenuniwa...!
 
Back
Top Bottom