barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
MATE FC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, nilikuwa nazo 2 zikafutika. Ngoja niwatumie jamaa zangu wa Yanga niwabugudhi mbayaaaaa!Japo hiyo siyo ya leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yondano alitaka inyeshe kupitia mdomo wake!Mvua ya leo haikunyesha bure na hata mamlaka ya hali ya hewa hawajaweza kuiona kabisa.
Yondano alitaka inyeshe kupitia mdomo wake!
Hahaaaaa. Wacha kabisa Mtani.
WoyooooooView attachment 760771
THIS IS SIMBA BROTHER.......
Yo NdaniNashangaa wanajiita mabingwa watetezi, timu ina wavuta bangi hawajui.hata mpira kazi ni kutemea mate our professional players
MAGAZETI: YONDANI AKABA KWA MAKOHOZI.Yo Ndani
Hahahahahhah Mtani Mtandao Tuuh Mule ndani uliniadhibu Nilitaka Nikutafute Yaani.Hahaaaaa. Kama nakuona vile.
Hongera Mtani.
lete nambaJose fanya utume muhamala
Siku nyingi tuVipi, baiskeli ya mbao mlioitanguliza imefika?
najiamini[emoji58][emoji58]Jipe moyo