KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

This is Simba.
 

Attachments

  • IMG-20180429-WA0014.jpg
    IMG-20180429-WA0014.jpg
    64.6 KB · Views: 55
  • IMG-20180429-WA0016.jpg
    IMG-20180429-WA0016.jpg
    41.7 KB · Views: 37
TFF uyu Mabangi Yondani apewe adhabu kali kwa kumtemea mate Kwasi
 
Mnacheza na timu haijapiga hata kona moja afu nyie mmepiga kona 8 afu nayo inajiita ya kimataifa yanga punguzeni kujitania [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]


Yanga Leo wamehisi wanacheza na Barcelona
 
kweli nimeamini ili mimba itungwe lazima mbegu kutoka kwa mwanaume ziwe nyingi ili zikifa nyingine moja tu ndio itayofikia yai na kufungisha mimba na bao la kwanza ndilo lenye mbegu nyingi na nibao lisilo na mbwembwe huja haraka sana.
na ndio maana shemeji yetu Yanga jana alipopigwa bao moja na kaka yetu simba mimba ikatunga mara moja akaanza kutema mate ovyo
kilichobaki nikumpeleka klinik mara 2 tu then tunapokea mtoto wetu
tuandae tu beseni la zawadi kwa shemeji yetu na tumuombee azae salama
 
Back
Top Bottom