Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Nina maana kwamba mtu mmoja wa simba ni tishio kwa watu 6 wa yangako una maana watu 4 wa simba hawakabwi na wako free ila hawaelewi wanafanya nini uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maana kwamba mtu mmoja wa simba ni tishio kwa watu 6 wa yangako una maana watu 4 wa simba hawakabwi na wako free ila hawaelewi wanafanya nini uwanjani
Tukifunga usisahau kunitag, mwenzio niko shamba naamia ndege wasile mtamaKama kawaidaa wazee wa international sieee....
HakyajojoApiaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una hamu ya kuolewa ww,...hapo kidole cha pete kinakuwasha haswaaaKama ulivyoolewa wewe usiku wa kuamkia leo
Kwel kabisa.Kabisa ni jinsi gani wanamuogopa,sio kwa kurundikana uko
Hhaahahha usijali wa mm,.tukichukua ushindi kama kawaida yetuu mpaka shamba ntakujaTukifunga usisahau kunitag, mwenzio niko shamba naamia ndege wasile mtama
Haahhaa niachie tuu shemelaaaaaWe leo uko na shemeji yako hazard mi niacheni na simba yangu
Kiongozi mbona twarushana roho hivi?Dk 37
Simba 0 1Yanga 0
Tumesha wapapasa kimoja.Hakyajojo
Pamoja sanaHhaahahha usijali wa mm,.tukichukua ushindi kama kawaida yetuu mpaka shamba ntakuja