Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
[emoji23][emoji28][emoji23] aiseeBao la kwanza siku zote lina kiherehere ngoja wanaume wamtie nyekundu bluu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji28][emoji23] aiseeBao la kwanza siku zote lina kiherehere ngoja wanaume wamtie nyekundu bluu...
Mfyuuuuuu niko hapa na mziguaKunywaa[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa macho yangu nimeona Simba wamezidi uwanjani haki ya nani wapo 13 angalia hata hili goli walivyolifunga tunampango wa kukata rufaa hii haiwezekani hizi ni hujuma kabisa mashabiki wenzangu wa madimbwini a.k.a Vyura fc tusikubali tukateni rufaa halafu tumwambie yule mfadhili wetu Mzee Akilimali vipi leo ajawahonga hawa Marefarii?
Ole wako ukimbie JoseMpira haujaisha bado
Tumewatanguliza kwa baiskeli ya miti hamfiki mbali
Kutangulia sio kufika
WooooooozeeeeeerSIMBA SC Nguvu Mojaa..
Bby unataka nisirudi nyumban leo??[emoji35]
Hahhaha jipeni moyo tuSawaaa,.lakini katika 1na 2,..mbili kubwa tuu
sikutegemea kuwakuta humuMpira dk 90 mafuriko fc mnaongea mno
#Timu_yetu #Mwaka_wetuWooooooozeeeeeer
kila mmoja ni tishio kwa timu pinzani ndo maana hawaachwi kufika golini bila kukabwa.Nina maana kwamba mtu mmoja wa simba ni tishio kwa watu 6 wa yanga
sikimbii[emoji19] [emoji53] [emoji57]Ole wako ukimbie Jose