KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

kwa macho yangu nimeona Simba wamezidi uwanjani haki ya nani wapo 13 angalia hata hili goli walivyolifunga tunampango wa kukata rufaa hii haiwezekani hizi ni hujuma kabisa mashabiki wenzangu wa madimbwini a.k.a Vyura fc tusikubali tukateni rufaa halafu tumwambie yule mfadhili wetu Mzee Akilimali vipi leo ajawahonga hawa Marefarii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah ..humu mpk raha tusiokua na timu tunacheka tu wasomaj sisi..
 
Back
Top Bottom