Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ok, baadae urudi hapaYanga 2-0 Simba.Sarpong anafunga goli leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, baadae urudi hapaYanga 2-0 Simba.Sarpong anafunga goli leo.
Simba wameshajifia zamani sana leo ndiyo tarehe ya mazishiHoma ya Kariakoo Derby imekuwa kubwa, ukipita katika viunga mbalimbali vya Dar es Salaam, habari kuu ni mechi hii!
Hii ni mechi ambayo ni kubwa katika nchi, Yanga wanaelekea katika mechi hii wakiwa na morali ya juu licha ya kutoa suluhu na Gwambina, huku Machampioni wa Nchi, Mnyama, lunyasi, Simba Sports wakiingia ktk mechi hii kama "underdogs"
Simba ina hatihati ya kumkosa playmaker mahiri Clatous Chama ambaye ni majeruhi lakini hii inaonekana kama "mind games" kutoka kwa kocha wa Simba! Niwaambie tu wana Yanga Chama yupo na atacheza mechi vizuri tu, kwahyo msizubaishwe na maneno ya kocha wa Simba.
All in all, Yanga ana nafasi kubwa ya kumfunga Simba japo mpira unadunda na matokeo ni dakika 90!
Utabiri wangu ni Yanga 2-2 Simba, tupia na wako.
Simba 5 Yanga 1
MVUA IKINYESHA YANGA KAISHA
ELSE FT DRW
Yanga 2-0 Simba.Sarpong anafunga goli leo.
Uanga anapigwa 3-1Homa ya Kariakoo Derby imekuwa kubwa, ukipita katika viunga mbalimbali vya Dar es Salaam, habari kuu ni mechi hii!
Hii ni mechi ambayo ni kubwa katika nchi, Yanga wanaelekea katika mechi hii wakiwa na morali ya juu licha ya kutoa suluhu na Gwambina, huku Machampioni wa Nchi, Mnyama, lunyasi, Simba Sports wakiingia ktk mechi hii kama "underdogs"
Simba ina hatihati ya kumkosa playmaker mahiri Clatous Chama ambaye ni majeruhi lakini hii inaonekana kama "mind games" kutoka kwa kocha wa Simba! Niwaambie tu wana Yanga Chama yupo na atacheza mechi vizuri tu, kwahyo msizubaishwe na maneno ya kocha wa Simba.
All in all, Yanga ana nafasi kubwa ya kumfunga Simba japo mpira unadunda na matokeo ni dakika 90!
Utabiri wangu ni Yanga 2-2 Simba, tupia na wako.
Yanga 2-0 Simba.Sarpong anafunga goli leo.
Yanga 1-0 kipindi cha kwanza