Kariakoo Derby: Tabiri mechi itaishaje

Kariakoo Derby: Tabiri mechi itaishaje

Homa ya Kariakoo Derby imekuwa kubwa, ukipita katika viunga mbalimbali vya Dar es Salaam, habari kuu ni mechi hii!

Hii ni mechi ambayo ni kubwa katika nchi, Yanga wanaelekea katika mechi hii wakiwa na morali ya juu licha ya kutoa suluhu na Gwambina, huku Machampioni wa Nchi, Mnyama, lunyasi, Simba Sports wakiingia ktk mechi hii kama "underdogs"

Simba ina hatihati ya kumkosa playmaker mahiri Clatous Chama ambaye ni majeruhi lakini hii inaonekana kama "mind games" kutoka kwa kocha wa Simba! Niwaambie tu wana Yanga Chama yupo na atacheza mechi vizuri tu, kwahyo msizubaishwe na maneno ya kocha wa Simba.

All in all, Yanga ana nafasi kubwa ya kumfunga Simba japo mpira unadunda na matokeo ni dakika 90!

Utabiri wangu ni Yanga 2-2 Simba, tupia na wako.
Simba wameshajifia zamani sana leo ndiyo tarehe ya mazishi
 
Uanga anapigwa 3-1
 
Mzee kasema kuna goli 3, sasa inaweza kuwa 3-0 au 2-1 ila Simba nd mshindi.
 
mikia matokeo yenu tunayo yanga 1:0 misukule fc,mwamedi fc

nabado mnapelekwa tuanze maneno au mpira 90'
 
Back
Top Bottom