sehemu wanayokaa kima watu wasio na ustaarabu"Ukimani" maana yake nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sehemu wanayokaa kima watu wasio na ustaarabu"Ukimani" maana yake nini
Maskini ni kima?sehemu wanayokaa kima watu wasio na ustaarabu
wapi nimesema maskini? ukimani wanakaa kima watu bila kujali hadhi zao tabia zinafanana.Maskini ni kima?
Dah! We siwez kujadiliana na wewe mkuu shukrani sana 🙏wapi nimesema maskini? ukimani wanakaa kima watu bila kujali hadhi zao tabia zinafanana.
Dawa yao nikua BubuNa wanatumia miti shamba, wanaongea na mteja huku mkono mmoja uko mfukoni. Huko mfukoni wanaminya kihirizi flani hiv kinaitwa Kiminyio! Mteja hakatai bei
Wajinga kweli hao yani mtu umetoka Nyumbani kwenda kununua vitu utaku mtu anakufata na kukuuliza yani anajifanya mwenyeji kuliko wewe mzaliwa wa jiji, Wateja wengine atutaki kelo na usumbufu kwasababu tunajua kilicho tupeleka na tumejipanga ki pesa na tunazo, sasa utaku mtu anatokea kusikojulikana anaanza kusumbua Nyinyi Mawinga siyo kila mteja anw njaa wengine tuna pesa zetu hatutaki kelo wenye pesa hawaki kelele na pesa hazitaki fujo na kelo, kwahiyo mtuache tuzunguke tuangalia bidhaa tukiipenda tunalipia tu.Ukosefu wa ajira ndo umeleta hawa inzi saiv nchi hii ukiwa na hela unashindwa kuenjoy kwa kununua vitu vizur kisa hawa inzi wanajiita mawinga hapo kariakoo mm nilitoka bila kununua chochote nikasema hebu nipite na hapo karume yaani balaa la soko la karume kipindi hiko kabla halijaungua lilikuwa mbadala wa kariakoo na hao inzi hawakuwepo.Saiv karume kumejaa vibaka wanaosumbua watu, unakuwa unanunua huku unalinda mali mfukoni maana sio kwa hao nzi waliokuzunguka.Napo pia niliishia kushangaa nikapanda gari nikaondoka🤗.Mjini daslam kumevamiwa vijana wakimaliza chuo hawataki kurudi makwao. Goli moja mawinga 7 au 8 yaani ni viroja🥱
Alafu ni nani aliyewaambia kuwa mm nimetoka nyumbani nakuja mjini alafu ww inzi mmoja unajifanya tour guide( dalali). Nchi imechafuka madalali stendi, madalali masokoni kwenye nyumba na viwanja ndo balaa ni inzi everywhere🥴
Nimekuelewa sana kamandaWajinga kweli hao yani mtu umetoka Nyumbani kwenda kununua vitu utaku mtu anakufata na kukuuliza yani anajifanya mwenyeji kuliko wewe mzaliwa wa jiji, Wateja wengine atutaki kelo na usumbufu kwasababu tunajua kilicho tupeleka na tumejipanga ki pesa na tunazo, sasa utaku mtu anatokea kusikojulikana anaanza kusumbua Nyinyi Mawinga siyo kila mteja anw njaa wengine tuna pesa zetu hatutaki kelo wenye pesa hawaki kelele na pesa hazitaki fujo na kelo, kwahiyo mtuache tuzunguke tuangalia bidhaa tukiipenda tunalipia tu.
We kama una pesa mkuu Zamia mlimani city njoo Mayfair plaza pale, nenda shoppers au njoo masaki hapa kuna plaza flani hivi inaitwa height tower sijui. Ila neno height lipoWajinga kweli hao yani mtu umetoka Nyumbani kwenda kununua vitu utaku mtu anakufata na kukuuliza yani anajifanya mwenyeji kuliko wewe mzaliwa wa jiji, Wateja wengine atutaki kelo na usumbufu kwasababu tunajua kilicho tupeleka na tumejipanga ki pesa na tunazo, sasa utaku mtu anatokea kusikojulikana anaanza kusumbua Nyinyi Mawinga siyo kila mteja anw njaa wengine tuna pesa zetu hatutaki kelo wenye pesa hawaki kelele na pesa hazitaki fujo na kelo, kwahiyo mtuache tuzunguke tuangalia bidhaa tukiipenda tunalipia tu.
Na price discrimination sababu YA wingasUsijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu.
Matajiri wanauchukulia wateja kama wajinga, wanajua kuwa mtaenda tu.
Sasa naomba niwape machimbo mapya Kwa Dar
1. Kwa wale wa electronics nenda Tegeta pale Kibo complex utapata bei ambayo Kariakoo haipo
Pia nenda Mbagala rangi Tatu utapata electronics zote, kuanzia Tv, simu, cable
2. Nguo nenda Mwenge au Makumbusho
3. Mitumba
Usijaribu kwenda Karume au Ilala tena
Kwa mitumba ya bei nafuu, mabalo za rejareja nenda Tandika, Temeke, Tandale na Mwenge
Kanda ya ziwa, machimbo yapo Katoro
Kwa machimbo mengine, tujaribu ku share.
Ila chonde chonde Kariakoo utaishia kupandiliwa na kupigwa bei ya maana.
Kariakoo nilikuwepo Jana, nikahairisha kuchukua mzigo kisa mawinga
campuscitymall.com
Mawinga wameuwa kariakooKariakoo unaweza nunua kitu kwa bei ya laki moja ukashangaa mtaani kitu hicho kinauzwa elfu arobaini.
Kkoo pamekuwa pa hovyo sana.
Mi niko kkoo huu ni mwaka 25 mkuu na kwasasa soko linaendeshwa na mawinga. Usipokubali mabadiliko ni kwamba umejiandalia kifo. Na kwa taarifa yako kkoo inategemea zaid wateja wa nje ya nchi sio ndani. So wewe endelea kuishi kwa kukariri maisha wakat wenzio wanavuka ukija kustuka uanze kuilaumu serikali. Maisha lazima ule na watu babu kama unataka kwenda mbali. Kama unataka kwenda karibu kula mwenyewe. Mi nawatumia winga tangu naanza biashara kkoo na wao wanakula na mimi natembea. Winga wananipa idea mipango na sote tunapata maisha yanaenda. We jifanye boss ubaki kuitwa mwenye duka milele. Ctaki huo
Noma sana!Me nataka winga wako umlipe mshahara atafute wateja walioko majumbani
Yaani mtu kajileta dukani kwako kununua simu ambayo unauza labda laki 4 wewe unamweka mteja wako midomoni mwa winga wanampiga laki 7 Bado unaona ni raha
Wafanyabiashara wakimataifa watawahama wawe wanachukua mizigo miji mingine
Noma sana!Kwa vifaa je vya hardware
Dah asante kwa elimu.Na wanatumia miti shamba, wanaongea na mteja huku mkono mmoja uko mfukoni. Huko mfukoni wanaminya kihirizi flani hiv kinaitwa Kiminyio! Mteja hakatai bei