Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

Wajinga kweli hao yani mtu umetoka Nyumbani kwenda kununua vitu utaku mtu anakufata na kukuuliza yani anajifanya mwenyeji kuliko wewe mzaliwa wa jiji, Wateja wengine atutaki kelo na usumbufu kwasababu tunajua kilicho tupeleka na tumejipanga ki pesa na tunazo, sasa utaku mtu anatokea kusikojulikana anaanza kusumbua Nyinyi Mawinga siyo kila mteja anw njaa wengine tuna pesa zetu hatutaki kelo wenye pesa hawaki kelele na pesa hazitaki fujo na kelo, kwahiyo mtuache tuzunguke tuangalia bidhaa tukiipenda tunalipia tu.
 
Nimekuelewa sana kamanda
 
We kama una pesa mkuu Zamia mlimani city njoo Mayfair plaza pale, nenda shoppers au njoo masaki hapa kuna plaza flani hivi inaitwa height tower sijui. Ila neno height lipo
Huko husumbuliwi.. ukija kariakoo tunakula na wewe sahani moja
 
Na price discrimination sababu YA wingas
 
Machimbo yapo mengi sana wewe ndio huyajui:
Kitabu hicho hapo: WhatsApp: 0612607426/0687746471
 
Chukua machimbo ya biashara ukafanye biashara (Namba za simu 600 za machimbo na location zake)!

KINAUZWA
Kitabu cha Machimbo ya Biashara
Kitabu chenye machimbo 600 ya biashara kwa TSH 15,000 tu!

Kitabu hiki kina namba za simu 600 za wauzaji wa bidhaa kwa bei nafuu, jumla na rejareja.

Jinsi ya kukipata WHATSAPP: 0612607426
CALL: 0687746471

Unaweza kupakua kitabu hiki kupitia link hii:

Kwa msaada wa kupakua, wasiliana kupitia:
WhatsApp: 0612607426
Call: 0687746471

Kitabu kina sura 68 kama ifuatavyo:

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.
 
N
 
Una kuja kiboya boya Kariakoo , unataka Jobless WA Magufuli tupate wapi visenti vya kupoza minyoo ya njaa kali kwenye vitambi vyetu ?
Acheni ujinga kutulaumu mawinga , ukiwa boya lazima upigwe ,na utapigwa sana tu ,hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…