Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Duh!

Naona wachukua video hivi sasa ili kukata mzizi wa fitina, wanahakikisha wanafotoa hadi licence plates manake wanafahamu Misukule ya Lumumba haikawii kusema "kuna ushahidi gani kwamba ni Tanzania hapo"!

Na hizi maiti sizizojulikana mwanzo na mwisho wake hivi sasa zinaonekana ni kama radioactive materials... katu watu hawawezi kujitosa kichwa kichwa kuzitoa!!
 
Sio mbaya #CHAPENI KAZI# haka ni kaugonjwa kadogo
 
Hiyo ni hofu tu

Hata kabla ya hapo Mtanzania alikuwa akikuta mtu kaanguka barabarani anakimbia kuogopa jinai
Hiyo sababu ya watu kukimbia kwakuogopa hiyo jinai kumesababishwa na nini?.maana lazima kuna sababu zilizopelekea watu wawe wanaogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…