Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Mtaa mmoja na Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam na serikali yake ya CCM Mpya inashindwa hata kuuchukua mwili na kuusitiri mahali kunapofaa.
 
Watu wanakula au mtu amekufa?...Mungu iponye Kariakoo waangalie waja wako wanatamanj kujilinda ila ili wale lazima wapambane hawapendi kusongamana ila wamejikuta ili maisha yaende sharti wasongamane.Waangale kwa karibu Mungu Muumba usikie kilio chao Mwenye enzi.
Usiwaache waja wako waangamie.
Amin
 
Jiulize walio quarantine kwann hawaanguki namna hii

Tafuta interview ya mtu anaitwa Rashid Buttar,you tube

Hata Meko mtamuonea huruma


Watakufa watu wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha meko kila mtu ni wakuonewa huruma Corona haichagui chama Dini mwerevu wala mjinga endelea kushangaa shangaa bila kuchukua tahadhari na kinga usitegeme kwavile ni mjinga kuwa haita kupata
 
Sio kweli. Nimeiona hiyo habari vizuri huyo mzee alikaa hapo kijiweni siku mbili juani + bila kula na afya yake haikua nzuri (umri umeenda) so ni uzushi kusema amefariki kwa corona.

Acha uzushi we kiumbe utaishia pabaya. Achana na mkumbo wa youtube we kiumbe.. ohoo!!
Dunia imebadilika sana
Kuna radiation inatumika kudhoofisha immunity
Zinatoka kwenye 5G


Tafakari vifo vinavyotokea ss
Melinda Gates alijuaje
Covid-19 inasingiziwa

4G bado iko vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo

View attachment 1432426
==

Punda fanyeni kazi mlipe kodi
View attachment 1432234
Tuliwaaambia watu kuwa hali itakuwa mbaya huko mbeleni wakatutukana naukuuliza kuwa mbeleni ni wapi eti acha kutisha watu, nawwambia kuwa hali itakuwa mbaya maiti zitakimbiwa na zitaokotwa kila kona subirini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sababu ya watu kukimbia kwakuogopa hiyo jinai kumesababishwa na nini?.maana lazima kuna sababu zilizopelekea watu wawe wanaogopa.
...Hivi kabla Umaiti haujamfika hakuwahi kuzungumza chochote kuelezea hali yako ama hata namna ya kuwapata ndugu/jamaa zake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom