Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Duh!

Naona wachukua video hivi sasa ili kukata mzizi wa fitina, wanahakikisha wanafotoa hadi licence plates manake wanafahamu Misukule ya Lumumba haikawii kusema "kuna ushahidi gani kwamba ni Tanzania hapo"!

Na hizi maiti sizizojulikana mwanzo na mwisho wake hivi sasa zinaonekana ni kama radioactive materials... katu watu hawawezi kujitosa kichwa kichwa kuzitoa!!

Yan alafu kafia gheto kwao ilo video nimeliona pale karibu na binslum daaah watabisha aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimesoma na nimemuelewa mkuu, unapotaka ufafanuzi wa hiyo maiti kuna maiti ngapi za hao vichaa zilizozikwa na manispaa hatukuhoji?

Au tunahoji kwasababu kuna Corona?
Hizi video zilikuwa hazipo hapo kabla je walikuwa hawafi au ni sisi ndio tulikuwa hatujali na kufuatilia ila kujali kwetu kumekuja kipindi hiki tu cha Corona?

Manispaa wapo na wanafanya kazi zao tangu mwanzo tu mkuu kabla hata ya hii corona.

Well, pointi yake ni hii hapa kama nimemwelewa vema:

Ni kweli watu wamekuwa wakifa siku zote na Manispaa imekuwepo ikifanya kazi yake, na ndo hapo kataja ‘vichaa’ wamekuwa wakizikwa.... imekuwaje MAITI hii kuachwa vile muda wote huo.?

Cheers 🥂
 
Kuwa basi Rais wewe,,, you're such an embicile

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue hapa ni tarumbeta ulilobeba kusapoti kauli ya Melinda kwa kifo cha mtu mmoja ambaye hata hujui chanzo cha kifo chake.....
kubali hapa umepoteza point....
rekebika.....
Mtu sawa hivi unatakiwa kuwa makini kuhusu mahali pa kufia usijifie hovyo hovyo popote
Na bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATANZANIA WANAUMWA MAGONJWA MENGI SANA, HUYO SIO CORANA.
 
Hiyo sababu ya watu kukimbia kwakuogopa hiyo jinai kumesababishwa na nini?.maana lazima kuna sababu zilizopelekea watu wawe wanaogopa.

RIP.

Kama kuna mtu amefariki, na kaachwa hivyo, ni jambo la huzuni sana.

Kwanza si utu, pili kiafya miti inaweza kuambukiza wengine.

Yani mpaka polisi na watu wa jiji nao wanaogopa jinai?

Au wanaogopa Covid-19?
 
Dah too bad isije kuwa kweli maana ata corona hawatangazi kama kuna ongezeko au imeisha Tanzania
 
Korona hatari
Screenshot_20200427-213414.jpg
 
Back
Top Bottom