Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

baada ya masaa 24 maiti imechukuliwa sasa,kumbuka mita kama 100 kuna ofisi ya ccm,pembeni kuna kituo cha polisi na zahanati ila kila mtu aanakula kona,hatari sana,marehemu alikuwa na UGONJWA WA KUSHINDWA KUPUMUA VIZURI
so chapeni kazi wajameni,haka ni kaugonjwa kadogo tu tunawategemea DSM nyie ndo mnachangia 80 asilimia ya pato la taifa TUNAHITAJI KODI kuwekeza kwenye madege ,iiigh BAGHOSHA
 
Mke wa Bill Gates kasema ikifika Juni Kama serikali za afrika hazitachukua hatua madhubuti maiti zitakua zimezagaa mitaani.sasa hapa kwetu hata Mei haijafika tumeanza kuokota maiti mitaani he ikifika hiyo Juni si balaa.
Unqjuaje kama kafa kwa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unapiga ramli ili ugonjwa uue maelfu,, stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa namna hii kweli tutakufa kwa maelfu.mpaka leo watuwanajazana kwenye mazishi, madaladala,sokoni kwenye maharusi unadhani tupo siriaz kweli? Tutakufa wengi tuu manaa njia pekee ya kukwepa nikujifungia ndani sisi tumedharau hilo.
 
Hatari sana. Ila tusikimbilie ku conclude kuwa ni corona inaweza kuwa ni sababu nyingine. Tusubiri report za wahusika (wataalam) japokuwa wanaweza kutulisha tu tango pori wakatuambia mhusika alikufa kwasababu ya njaa.
 
Hivi kwanini watu ni wapumbavu namna hii????

Siku izi kila mtu akifa ni corona????


Ulaaaniwe mbwa wewe,,, naona Magufuli anakunyima usingizi,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh teheeeeee!!
Imekufika hakika!
Roho zinawauma kuona utabiri wa mtukufu wenu unaenda ndivyo sivyo
Endeleeni kumhusudu hayawani ninyi

Ninyi mnaopewa usingizi na Meco laleni, mtashtuka kaburini WET PUSSY ninyi
 
Back
Top Bottom