Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo

Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury


1. FRIDGE
Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza kuwa nje ya budget ya watu wengi. Lakini brands kama Hisense, TCL, Midea zimeleta ushindani na options zenye features nyingi kwa bei zinazofikika zaidi.


2. SMART TV
Si kila Mtanzania anaweza kutoa hela ya premium Samsung au LG. Lakini leo TV za TCL, Hisense, Skyworth na nyingine zimefanya 4K, Smart TV, Google/Android TV na features nyingine zipatikane kwa watu wengi zaidi


3. AIR CONDITIONER
AC haikuwa bidhaa ya kila mtu. Ushindani kutoka kwa manufacturers wa China kama Gree, Hisense umeongeza options za bei tofauti kuanzia nyumba za kawaida mpaka biashara


4. WASHING MACHINE
Automatic washing machine ilikuwa luxury kwa familia nyingi. Leo Midea, Hisense, TCL na brands nyingine zimeifanya iwe bidhaa ambayo middle class anaweza kuifikiria bila kuuza kiwanja.


5. MICROWAVE & COOKERS
Microwave, electric cooker, air fryer, blender, rice cooker, kettle, pressure cooker China imejaa kwenye hii ecosystem. Kinachotokea ni simple: competition inaongeza options na kushusha entry price


6. SOLAR & POWER PRODUCTS

Solar panels, inverters, batteries, charge controllers na vifaa vingine vya umeme vimekuwa accessible zaidi kwa sababu ya mass production ya China.


7. SIMU
Hapa ndio competition ililipuka. Xiaomi, Tecno, Infinix, Oppo, Vivo, Realme na wengine waliifanya smartphone yenye RAM kubwa, storage kubwa na camera nzuri isiwe kitu cha matajiri tu


8. VIFAA VYA UJENZI
Tiles, sanitary ware, lighting, aluminium products, roofing materials, electrical accessories, pumps, tools na vifaa mbalimbali vya finishing Kariakoo na masoko mengine yamejaa bidhaa kutoka China.


Mtu anayejenga nyumba leo ana options nyingi zaidi kuliko zamani.


9. SPARE PARTS ZA MAGARI
China imeingia sana kwenye aftermarket: filters, brake parts, suspension parts, lights, body parts, sensors na accessories.

Hii imeongeza option kwa mwenye gari ambaye hataki kila service iwe lazima itumie genuine/OEM ya bei ya juu.


10. MACHINES NA VIFAA VYA BIASHARA
Juice machines, bakery equipment, popcorn machines, sealing machines, welding machines, generators, compressors, freezers, packaging machines n.k.


Mtu mwenye mtaji mdogo anaweza kuanza biashara kwa kutumia equipment ambayo zamani ingeonekana ni ya kampuni kubwa tu.


SOMO KUBWA NI HILI:
China haijafanya kila bidhaa iwe cheap automatically. Lakini imeleta kitu muhimu sana kwenye soko: COMPETITION + MASS PRODUCTION + OPTIONS


Na competition ikija, Samsung, LG, Sony, Bosch, Whirlpool, Toyota, n.k. hawawezi tena kusema, “bei yetu ndio hiyo, chukua au acha.” Mtumiaji anapata choice.

Ukiwa na milioni 2 unaweza kuchagua bidhaa ya premium.

Ukiwa na laki kadhaa bado unaweza kupata bidhaa yenye technology nzuri inayokidhi mahitaji yako

Hapo ndipo impact ya China kwa Mtanzania wa kawaida ilipo
​
 
Hata ukiamua kununua bidhaa ambazo sio China based kama Samsung, LG, Sony au brand nyingine ya premium, supply chain yao bado inaungana na China.

Components, electronics, batteries, displays, motors, semiconductors, plastics, cables na parts nyingine hutengenezwa au kusindikizwa kupitia supply chains za China; na baadhi ya brands za kimataifa pia zina manufacturing operations nchini China

Kwa hiyo hii si story ya Mchina vs Samsung

Ni story ya China kuwa sehemu kubwa ya manufacturing ecosystem ya dunia.
​
 
Hawa wachina ni parasite ila tujifunze ku coexist na wao symbiotically.
 
Hilo sipingani na wewe ni kweli bila mchina pale maduka yangekuwa ya mtumba tu wachache sana wangeuza vitu vya mturuki tu hata zamani kariakoo vitu vilikuwa vya mtumba tu mcjina ndio kaja k
Umesema vyema, ujio wa Mchina umeondoa sana bidhaa za mtumba Kariakoo
 
Hawa wachina ni parasite ila tujifunze ku coexist na wao symbiotically.
Kuwaita watu parasite halafu ukasema tujifunze ku-coexist nao ni contradiction yenyewe

Coexistence ya kweli ni cooperation yenye mutual benefit, si kuwadharau watu kwa utaifa wao

Kama kuna biashara au sera zinazotuumiza, zikosolewe sio ku-generalize watu wote
 
Back
Top Bottom