Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.

Mizigo ni kava za simu
 
uliza magari yanayo enda mbeya, tunduma, lusaka, harare na lubumbashi kama yapo... hukosi usafiri wa mikoani hapo kariakoo kwa ajili ya vifurushi au mizigo...
 
Nenda uwanja wa JK Park kidongo chekundu kuna Gari za usiku zinaondoka jioni kwenda Mbeya kuna za Mizigo na za Abiria kazi kwako
 
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.

Mizigo ni kava za simu
Tumia kampuni za usafirishaji zinazotoa mzigo kariakoo kwenda mikoani
Ofisi zipo maeneo ya kariakoo
 
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.

Mizigo ni kava za simu
Uliza HAKUNA KULALA zinapopark zipo jk kikwete park kidongo chekundu au kama unaona hyo haifai nenda kwenye makampuni ya kusafirisha mizigo.

Ukitumia hakuna kulala unapata mzigo wako kesho yake kuna magar yanaondoka saa 8 mchana na saa10 jion na mbeya atapokelea UYOLE ndio kuna ofisi zao.
Ila yale malori ofisi zao mbeya atapokelea SIDO pale ndio zipo ofisi nying za malory.

Mimi huwa napenda sana Hakuna kulala kama ni mzigo wa kawaida ila kama ni mkubwa nenda kwenye malori.
 
Back
Top Bottom