Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Usipoweka takwimu sitabishana nawe tena maana unapoteza muda wa kufanya mambo ya msingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gangongine,Mwageni takwimu hapa ndio ubishi utaisha, Mnamiliki vyuo Vikuu vingapi, vyuo vya Ufundi, Vyuo vya Afya, Shule za Upili na Sekondari za Juu n.k. Hapo jipimeni na mtajua sababu ya kuachwa nyuma. ACHENI UBISHI WA KIJIWENI. TUNATAKA FACTS ONLY!
Kumbe wewe mweupe kichwani. Mbona unaogopa kuweka hizo takwimu hapa???????????Gangongine,
Una haraka ya kujadili.
Hili si suala la kuvamia.
Soma kwanza hizo rejea nilizokupa zote kisha ndiyo urejee
katika mjadala.
Hivyo vitabu ikiwa wewe ni msomaji hodari vitakuchukua
miezi mitatu takriban.
Bila ya kusoma vitabu hivyo utarudi hapa na maswali yasiyo
na maana.
Wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia Wajerumani waliwakamata
Wayahudi wakaweka ''ghetto,'' hakuna maji wala vyoo.
Wajerumani wakawa wanawalaumu Wayahudi kwa uchafu.
Soma kaka soma hili suala zito ndiyo maana si kanisa wala serikali
wako tayari kujadili na Waislam.
Ndalichako tumemfanyia maandamano tukimshutuma kwa kuwahujumu
vijana wa Kiislam lakini leo kapewa nafasi kubwa kuliko ile ya kwanza.
Unauliza facts?
Gangongine,bado nazingoja takwimu, siyo hayo maigizo yako. Hakuna anayebisha kwamba Waislamu walishiriki kwa kiasi kikubwa kupigania Uhuru lakini nimekuambia kilichowafanya wabaki nyuma sio mpango maalum au hila. Ndio maana nikaomba uweke takwimu hapa ndio utajua hakuna ubaguzi wowote kwa Waislam katika Nchi hii.
Gangongine,Kumbe wewe mweupe kichwani. Mbona unaogopa kuweka hizo takwimu hapa???????????
bado nazingoja takwimu, siyo hayo maigizo yako. Hakuna anayebisha kwamba Waislamu walishiriki kwa kiasi kikubwa kupigania Uhuru lakini nimekuambia kilichowafanya wabaki nyuma sio mpango maalum au hila. Ndio maana nikaomba uweke takwimu hapa ndio utajua hakuna ubaguzi wowote kwa Waislam katika Nchi hii.
Wanamajlis,"wengine walijificha wapi? "
Gangogine,Mwageni takwimu hapa ndio ubishi utaisha, Mnamiliki vyuo Vikuu vingapi, vyuo vya Ufundi, Vyuo vya Afya, Shule za Upili na Sekondari za Juu n.k. Hapo jipimeni na mtajua sababu ya kuachwa nyuma. ACHENI UBISHI WA KIJIWENI. TUNATAKA FACTS ONLY!
Mbona unakwepa kutoa takwimu nilizoomba hapa? Mna vyuo Vikuu Vingapi, Vyuo vya ufundi, vya Afya, Shule za Msingi, Sekondari ya Upili na za Juu n.k. Vinginevyo unachoandika hapa ni malalamiko yasiyo na msingi. Huo utafiti naufahamu sana. Kuna wakati ratio ya wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 ilikuwa 79% kwa 21% kwa Wakristo na Waislam na Vyuo Vikuu hivyo hivyo. Hoja yangu sio kwamba Waislam hawajaachwa katika Nyanja nyingi na sio kwamba hawajachangia katika harakati za Uhuru HAPANA!! Kwa kiasi kikubwa wao ndio mhimili wa Uhuru kupatikana kwa kuwa walijitoa kiasi kikubwa kukomboa Nchi yetu. Hoja yangu ni kwamba hakuna Mpango Maalum wa kuwakandamiza wala kuwanyima fursa mbalimbali. Ndio maana nataka ujielekeze kutoa hizo data nilizokuomba utapata jibu sahihi kwa nini wameachwa!! NDIO MAANA UNAOGOPA KUTOA HIZO TAKWIMU HAPA UTAAIABIKA PEUPEEEE!! Unabaki kusimulia hadithi tu! Bishana kama msomi tafadhali! Naomba tujadili sababu za msingi za kuachwa nyuma katika maeneo mengi na siyo malalamiko yasiyo na ithibati!!Gangogine,
Mjadala haulelewi na kejeli na kibri.
Mjadala unastawi penye adabu na heshima.
Huu mjadala wa udini uko miaka mingi na umejadiliwa na watafiti
wa kutajika.
Msome van Bergen, Sivalon na Njozi.
Utafiti wa Njozi ndiyo uliotisha serikali kiasi walipiga marufuku kitabu
kisiingizwe nchini.
Wakati huo kitabu kilikuwa kishaingia nchini kipo Uwanja wa Ndege
kinasubiri kupitishwa na Customs.
Hizo facts unazozitaka zote Njozi kaziweka peupe uwanjani saa saba
mchana wa jua kali.
Soma kwanza rejea hizo utakuwa katika hali nzuri sana ya kuelewa
chanzo cha tatizo na wahusika wakuu wa tatizo hili.
Chukua muda kusoma hii barza tupo hapa siku zote.
Rudi hata baada ya mwaka ukiwa na uelewa wa somo lenyewe kwani
huwezi ukajadili katika hali hiyo uliyokuwanayo utakuwa mjadala wa
viziwi.
Gangogine,Mbona unakwepa kutoa takwimu nilizoomba hapa? Mna vyuo Vikuu Vingapi, Vyuo vya ufundi, vya Afya, Shule za Msingi, Sekondari ya Upili na za Juu n.k. Vinginevyo unachoandika hapa ni malalamiko yasiyo na msingi. Huo utafiti naufahamu sana. Kuna wakati ratio ya wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 ilikuwa 79% kwa 21% kwa Wakristo na Waislam na Vyuo Vikuu hivyo hivyo. Hoja yangu sio kwamba Waislam hawajaachwa katika Nyanja nyingi na sio kwamba hawajachangia katika harakati za Uhuru HAPANA!! Kwa kiasi kikubwa wao ndio mhimili wa Uhuru kupatikana kwa kuwa walijitoa kiasi kikubwa kukomboa Nchi yetu. Hoja yangu ni kwamba hakuna Mpango Maalum wa kuwakandamiza wala kuwanyima fursa mbalimbali. Ndio maana nataka ujielekeze kutoa hizo data nilizokuomba utapata jibu sahihi kwa nini wameachwa!! NDIO MAANA UNAOGOPA KUTOA HIZO TAKWIMU HAPA UTAAIABIKA PEUPEEEE!! Unabaki kusimulia hadithi tu! Bishana kama msomi tafadhali! Naomba tujadili sababu za msingi za kuachwa nyuma katika maeneo mengi na siyo malalamiko yasiyo na ithibati!!
Petrol,Je kuna vitabu vinavyoeleza historia hii au harakati hizi. Na vinapatikana wapi, tafadhali. Tunataka tuongeze maarifa.
SIJAKUTUSI KAKA. ILA NASEMA KAMA UNA TAKWIMU AU HUJAFANYA UTAFITI HUNA HAKI YA KUBISHANA NA MTU HAPA DUNIANI. HIVYO VITABU HAVISAIDII KUJUA TATIZO LA WAISLAM KUBAKI NYUMA. ILA HIZO TAKWIMU ULIZOKATAA KUWEKA JAMVINI ZINATOA MAJIBU KUHUSU KIINI CHA TATIZO. VINGINENVYO UTABAKI UNALALAMIKA MILELE NA PENGO LITAZIDI KUKUA HATUA ZISIPOCHUKULIWA!! SIBISHANI TENA NAWE MAANA UNATOA HADITHI TU HAPA!! KWA MFANO VITABU VYOTE HIVYO VINATOA TAKWIMU LINGANIFU ZIKIONESHA JINSI WAISLAM WALIVYOACHWA NYUMA. LAKINI HAZIELEZI KIINI CHENYEWE NA JINSI YA KUREKEBISHA!!Petrol,
Kitabu kilichokuwa maarufu katika miaka ya 1980 kilikuwa
''Religion and Development,'' cha P van Bergen (1981) ila
ilipogundulika yale yaliyomo ndani kitabu taratibu kikatolewa
madukani na hakiagizwi tena.
Moja ya duka wakiuza kitabu hiki lilikuwa Cathedral Bookshop.
Kitabu kingine ni cha Padri John Sivalon, ''Kanisa Katoliki na
Siasa Tanzania Bara (1992).
Kitabu hiki kikichapwa na wamishionari wa Ndanda na kikiuzwa
Cathedral Bookshop lakini ilipokuja kudhihirika kuwa kilikuwa na
taarifa zinazoeleza mengi ya siri kati ya serikali na kanisa hiki
kitabu hakichapwi tena.
Kitabu muhimu sana kukisoma ni cha Hamza Njozi, ''Mwembechai
Killings...'' (2002).
Hiki kitabu kimepigwa marufuku Tanzania.
Ukipenda unaweza kusoma kitabu cha Mohamed Said, ''The Life
andTimes of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of
the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,
(1998).
Kitabu hiki kipo na cha Kiswahili.
Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro na Manyema
na bei yake ni shs: 10,000.00.
Unaweza kukipata pia Elite Bookshop Mbezi Samaki, Soma Bookshop
Mikocheni na Slipway Masaki.
KAMA UNANIELEWA VIZURI NAKUBALIANA KABISA NA HOJA KWAMBA WAISLAM WAMEACHWA SANA NYUMA TENA KATIKA MAENEO MENGI TU. ILA NITAPINGA SABABU ZA KUACHWA KWAO NYUMA KWAMBA ZIMECHANGIWA NA SERIKALI AU WATU FULANI KWA HILA ZAO. MCHANGO WA WATU FULANI NA SERIKALI (KAMA WAMECHANGIA NI PUNJE TU). NDIO TUJADILI SABABU KUU HIZO!!AU NIKUULIZE KWA LUGHA RAHISI SANA. MNA HOSPITALI ZA RUFAA NGAPI? HOSPITALI ZENYE HADHI WA WILAYA NGAPI, VYUO VIKUU VINGAPI, SEMINARI NGAPI, SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI NGAPI? VYUO VYA AFYA VINGAPI, VYUO VYA UFUNDI VINGAPI? N.K. HAPO NDIO TATIZO LILIPO KAKA!!
Petrol,
Kitabu kilichokuwa maarufu katika miaka ya 1980 kilikuwa
''Religion and Development,'' cha P van Bergen (1981) ila
ilipogundulika yale yaliyomo ndani kitabu taratibu kikatolewa
madukani na hakiagizwi tena.
Moja ya duka wakiuza kitabu hiki lilikuwa Cathedral Bookshop.
Kitabu kingine ni cha Padri John Sivalon, ''Kanisa Katoliki na
Siasa Tanzania Bara (1992).
Kitabu hiki kikichapwa na wamishionari wa Ndanda na kikiuzwa
Cathedral Bookshop lakini ilipokuja kudhihirika kuwa kilikuwa na
taarifa zinazoeleza mengi ya siri kati ya serikali na kanisa hiki
kitabu hakichapwi tena.
Kitabu muhimu sana kukisoma ni cha Hamza Njozi, ''Mwembechai
Killings...'' (2002).
Hiki kitabu kimepigwa marufuku Tanzania.
Ukipenda unaweza kusoma kitabu cha Mohamed Said, ''The Life
andTimes of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of
the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,
(1998).
Kitabu hiki kipo na cha Kiswahili.
Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro na Manyema
na bei yake ni shs: 10,000.00.
Unaweza kukipata pia Elite Bookshop Mbezi Samaki, Soma Bookshop
Mikocheni na Slipway Masaki.