Kariakoo market 1949

Kariakoo market 1949

Usipoweka takwimu sitabishana nawe tena maana unapoteza muda wa kufanya mambo ya msingi
 
Mwageni takwimu hapa ndio ubishi utaisha, Mnamiliki vyuo Vikuu vingapi, vyuo vya Ufundi, Vyuo vya Afya, Shule za Upili na Sekondari za Juu n.k. Hapo jipimeni na mtajua sababu ya kuachwa nyuma. ACHENI UBISHI WA KIJIWENI. TUNATAKA FACTS ONLY!
Gangongine,
Una haraka ya kujadili.
Hili si suala la kuvamia.

Soma kwanza hizo rejea nilizokupa zote kisha ndiyo urejee
katika mjadala.

Hivyo vitabu ikiwa wewe ni msomaji hodari vitakuchukua
miezi mitatu takriban.

Bila ya kusoma vitabu hivyo utarudi hapa na maswali yasiyo
na maana.

Wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia Wajerumani waliwakamata
Wayahudi wakaweka ''ghetto,'' hakuna maji wala vyoo.

Wajerumani wakawa wanawalaumu Wayahudi kwa uchafu.

Soma kaka soma hili suala zito ndiyo maana si kanisa wala serikali
wako tayari kujadili na Waislam.

Ndalichako tumemfanyia maandamano tukimshutuma kwa kuwahujumu
vijana wa Kiislam lakini leo kapewa nafasi kubwa kuliko ile ya kwanza.

Unauliza facts?
 
Kumbe wewe mweupe kichwani. Mbona unaogopa kuweka hizo takwimu hapa???????????
 
bado nazingoja takwimu, siyo hayo maigizo yako. Hakuna anayebisha kwamba Waislamu walishiriki kwa kiasi kikubwa kupigania Uhuru lakini nimekuambia kilichowafanya wabaki nyuma sio mpango maalum au hila. Ndio maana nikaomba uweke takwimu hapa ndio utajua hakuna ubaguzi wowote kwa Waislam katika Nchi hii.
Gangongine,
Sasa umetoka katika mjadala unaingia katika matusi.
''Maigizo...''

Huu mlango wa matusi haufai kufunguliwa utatuletea
shida sisi sote kwani katika vitu sikujaaliwa kuvimudu
ni kuandika matusi.
 
bado nazingoja takwimu, siyo hayo maigizo yako. Hakuna anayebisha kwamba Waislamu walishiriki kwa kiasi kikubwa kupigania Uhuru lakini nimekuambia kilichowafanya wabaki nyuma sio mpango maalum au hila. Ndio maana nikaomba uweke takwimu hapa ndio utajua hakuna ubaguzi wowote kwa Waislam katika Nchi hii.

"wengine walijificha wapi? "
 
"wengine walijificha wapi? "
Wanamajlis,
Mjadala una kanuni zake na kila mara huwa nawaeleza kuwa mimi
nimesoma ilm ya mnakasha chuoni kwa Maalim Haruna.

Napenda barza inufaike katika kile nilichosomeshwa mie miaka mingi
iliyopita.

Kwanza ni staha yaani adab katika majadiliano.
Watu waliokuwa katika mjadala ni muhimu wakaonyesha kuheshimiana.

Vinginevyo hapawezekani pakawa na mjadala mzuri isizidi itakuwa shari.

Pili mjadala ili uwe na maana ni muhimu wanaojadili wawe wana ilm ya
kutosha ya mada iliyopo.

Mtu anaomba apewe takwimu (data).

Anapewa rejea kama tatu hivi ili aweze kwa jicho lake aone mwenyewe na
aweze kuchambua hizo data.

Anarejea na anashikilia kisha kwa kejeli kuwa apewe data.
Kwa mjuzi tayari anajua huyo anaejadiliananae siye.

Mjadala wa udini Tanganyika unataka kwanza uwe umesoma rejea zote ili
uwe hadhir na nini watafiti wameona na kuandika.

Bila ya hivyo utakuwa mjadala wa viziwi hakuna amsikiae mwenzie.
 
Mwageni takwimu hapa ndio ubishi utaisha, Mnamiliki vyuo Vikuu vingapi, vyuo vya Ufundi, Vyuo vya Afya, Shule za Upili na Sekondari za Juu n.k. Hapo jipimeni na mtajua sababu ya kuachwa nyuma. ACHENI UBISHI WA KIJIWENI. TUNATAKA FACTS ONLY!
Gangogine,
Mjadala haulelewi na kejeli na kibri.
Mjadala unastawi penye adabu na heshima.

Huu mjadala wa udini uko miaka mingi na umejadiliwa na watafiti
wa kutajika.

Msome van Bergen, Sivalon na Njozi.

Utafiti wa Njozi ndiyo uliotisha serikali kiasi walipiga marufuku kitabu
kisiingizwe nchini.

Wakati huo kitabu kilikuwa kishaingia nchini kipo Uwanja wa Ndege
kinasubiri kupitishwa na Customs.

Hizo facts unazozitaka zote Njozi kaziweka peupe uwanjani saa saba
mchana wa jua kali.

Soma kwanza rejea hizo utakuwa katika hali nzuri sana ya kuelewa
chanzo cha tatizo na wahusika wakuu wa tatizo hili.

Chukua muda kusoma hii barza tupo hapa siku zote.

Rudi hata baada ya mwaka ukiwa na uelewa wa somo lenyewe kwani
huwezi ukajadili katika hali hiyo uliyokuwanayo utakuwa mjadala wa
viziwi.
 
Mbona unakwepa kutoa takwimu nilizoomba hapa? Mna vyuo Vikuu Vingapi, Vyuo vya ufundi, vya Afya, Shule za Msingi, Sekondari ya Upili na za Juu n.k. Vinginevyo unachoandika hapa ni malalamiko yasiyo na msingi. Huo utafiti naufahamu sana. Kuna wakati ratio ya wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 ilikuwa 79% kwa 21% kwa Wakristo na Waislam na Vyuo Vikuu hivyo hivyo. Hoja yangu sio kwamba Waislam hawajaachwa katika Nyanja nyingi na sio kwamba hawajachangia katika harakati za Uhuru HAPANA!! Kwa kiasi kikubwa wao ndio mhimili wa Uhuru kupatikana kwa kuwa walijitoa kiasi kikubwa kukomboa Nchi yetu. Hoja yangu ni kwamba hakuna Mpango Maalum wa kuwakandamiza wala kuwanyima fursa mbalimbali. Ndio maana nataka ujielekeze kutoa hizo data nilizokuomba utapata jibu sahihi kwa nini wameachwa!! NDIO MAANA UNAOGOPA KUTOA HIZO TAKWIMU HAPA UTAAIABIKA PEUPEEEE!! Unabaki kusimulia hadithi tu! Bishana kama msomi tafadhali! Naomba tujadili sababu za msingi za kuachwa nyuma katika maeneo mengi na siyo malalamiko yasiyo na ithibati!!
 
Je kuna vitabu vinavyoeleza historia hii au harakati hizi. Na vinapatikana wapi, tafadhali. Tunataka tuongeze maarifa.
 
Nimekufahamisha zaidi ya mara mbili uwasome P van Bergen, Sivalon na Njozi. Data unazohitaji utazipata kwao na kwa hakika ndizo zinazotegemewa katika tatizo la udini Tanzania. Hapa unazungumzia takriban kurasa 600 za kusoma. Somo hili halitaki haraka wala hamaki unazonionyesha. Somo hili linataka utulivu na subra kulielewa. Mmoja wa wanabarza kanipa rejea nyingine ya Askofu Gamanywa: Kutenganisha Dini na Mamlaka ya Nchi kanifahamisha kuwa kuna mengi muhimu ameandika kuhusu udini. Nakitalii hiki kitabu inielimike. Nakusihi ikiwa kweli una nia ya kujua tatizo hili basi soma kwanza uelimike ndiyo urejee katika huu mnakasha. Kinyume cha hivyo itakuwa ni hizi hamaki na kejeli zisizokuwa na maana si kwako wala kwa wanaokusoma.Mimi sijapatapo kukwepa mjadala labda kwa kuwa wewe ni mgeni hapa majlis hili hulijui. Unaekwepa ni wewe usotaka kusoma rejea nilizokuwekea. Labda kwa hofu ya kusoma kama ulivyomsoma Sivalon akitangaza uadui dhidi ya Uislam. Katika hizo rejea kuna mazito kushinda ya Sivalon. Soma upate ithbati unayoitafuta.
 
Je kuna vitabu vinavyoeleza historia hii au harakati hizi. Na vinapatikana wapi, tafadhali. Tunataka tuongeze maarifa.
Petrol,
Kitabu kilichokuwa maarufu katika miaka ya 1980 kilikuwa
''Religion and Development,'' cha P van Bergen (1981) ila
ilipogundulika yale yaliyomo ndani kitabu taratibu kikatolewa
madukani na hakiagizwi tena.

Moja ya duka wakiuza kitabu hiki lilikuwa Cathedral Bookshop.

Kitabu kingine ni cha Padri John Sivalon, ''Kanisa Katoliki na
Siasa Tanzania Bara (1992).

Kitabu hiki kikichapwa na wamishionari wa Ndanda na kikiuzwa
Cathedral Bookshop lakini ilipokuja kudhihirika kuwa kilikuwa na
taarifa zinazoeleza mengi ya siri kati ya serikali na kanisa hiki
kitabu hakichapwi tena.

Kitabu muhimu sana kukisoma ni cha Hamza Njozi, ''Mwembechai
Killings...'' (2002).

Hiki kitabu kimepigwa marufuku Tanzania.

Ukipenda unaweza kusoma kitabu cha Mohamed Said, ''The Life
andTimes of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of
the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,
(1998).

Kitabu hiki kipo na cha Kiswahili.

Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro na Manyema
na bei yake ni shs: 10,000.00.

Unaweza kukipata pia Elite Bookshop Mbezi Samaki, Soma Bookshop
Mikocheni na Slipway Masaki.
 
SIJAKUTUSI KAKA. ILA NASEMA KAMA UNA TAKWIMU AU HUJAFANYA UTAFITI HUNA HAKI YA KUBISHANA NA MTU HAPA DUNIANI. HIVYO VITABU HAVISAIDII KUJUA TATIZO LA WAISLAM KUBAKI NYUMA. ILA HIZO TAKWIMU ULIZOKATAA KUWEKA JAMVINI ZINATOA MAJIBU KUHUSU KIINI CHA TATIZO. VINGINENVYO UTABAKI UNALALAMIKA MILELE NA PENGO LITAZIDI KUKUA HATUA ZISIPOCHUKULIWA!! SIBISHANI TENA NAWE MAANA UNATOA HADITHI TU HAPA!! KWA MFANO VITABU VYOTE HIVYO VINATOA TAKWIMU LINGANIFU ZIKIONESHA JINSI WAISLAM WALIVYOACHWA NYUMA. LAKINI HAZIELEZI KIINI CHENYEWE NA JINSI YA KUREKEBISHA!!
 
AU NIKUULIZE KWA LUGHA RAHISI SANA. MNA HOSPITALI ZA RUFAA NGAPI? HOSPITALI ZENYE HADHI WA WILAYA NGAPI, VYUO VIKUU VINGAPI, SEMINARI NGAPI, SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI NGAPI? VYUO VYA AFYA VINGAPI, VYUO VYA UFUNDI VINGAPI? N.K. HAPO NDIO TATIZO LILIPO KAKA!!
 
KAMA UNANIELEWA VIZURI NAKUBALIANA KABISA NA HOJA KWAMBA WAISLAM WAMEACHWA SANA NYUMA TENA KATIKA MAENEO MENGI TU. ILA NITAPINGA SABABU ZA KUACHWA KWAO NYUMA KWAMBA ZIMECHANGIWA NA SERIKALI AU WATU FULANI KWA HILA ZAO. MCHANGO WA WATU FULANI NA SERIKALI (KAMA WAMECHANGIA NI PUNJE TU). NDIO TUJADILI SABABU KUU HIZO!!
 
Petrol,
Kitabu kilichokuwa maarufu katika miaka ya 1980 kilikuwa
''Religion and Development,'' cha P van Bergen (1981) ila
ilipogundulika yale yaliyomo ndani kitabu taratibu kikatolewa
madukani na hakiagizwi tena.

Moja ya duka wakiuza kitabu hiki lilikuwa Cathedral Bookshop.

Kitabu kingine ni cha Padri John Sivalon, ''Kanisa Katoliki na
Siasa Tanzania Bara (1992).

Kitabu hiki kikichapwa na wamishionari wa Ndanda na kikiuzwa
Cathedral Bookshop lakini ilipokuja kudhihirika kuwa kilikuwa na
taarifa zinazoeleza mengi ya siri kati ya serikali na kanisa hiki
kitabu hakichapwi tena.

Kitabu muhimu sana kukisoma ni cha Hamza Njozi, ''Mwembechai
Killings...'' (2002).

Hiki kitabu kimepigwa marufuku Tanzania.

Ukipenda unaweza kusoma kitabu cha Mohamed Said, ''The Life
andTimes of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of
the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,
(1998).

Kitabu hiki kipo na cha Kiswahili.

Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro na Manyema
na bei yake ni shs: 10,000.00.

Unaweza kukipata pia Elite Bookshop Mbezi Samaki, Soma Bookshop
Mikocheni na Slipway Masaki.

KAMA UNANIELEWA VIZURI NAKUBALIANA KABISA NA HOJA KWAMBA WAISLAM WAMEACHWA SANA NYUMA TENA KATIKA MAENEO MENGI TU. ILA NITAPINGA SABABU ZA KUACHWA KWAO NYUMA KWAMBA ZIMECHANGIWA NA SERIKALI AU WATU FULANI KWA HILA ZAO. MCHANGO WA WATU FULANI NA SERIKALI (KAMA WAMECHANGIA NI PUNJE TU). NDIO TUJADILI SABABU KUU HIZO!!
 
Tueleze mengi katika yale ujuayo. Hii ndo historia tunayotaka.
 
Back
Top Bottom