Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Inaumiza na hapo watu wana mikopo bank 😭
Mikopo mingi ya Kariakoo ni ya watu sio Bank maana muda wowote akitaka pesa anapata ni dhamana yake ukitaka kiasi chochote wanakupa ila hayo marejesho yake ni nyonya damu hao ndio kichefuchefu inapotokea jambo kama hili maana Mkopeshaji anafurahi ili achukue dhamana bure tuu...Bank hapo wataelewa na muda mwingine kama ulikua mlipaji mzuri wa marejesho yako unakopeshwa kidogo tena ili mambo yaende na kupewa muda wa miezi miwili ili uanze kulipa ila sio wale wahuni kesho vinaanza vikao itakuaje hela yao kana kwamba umechoma Duka lako...
 
Kwanza umekurupuka, pale hakuna kituo cha mafuta

Pili hakuna soko pale

Tatu moto umeanzia mnadani
Hajakurupuka anamaanisha Kariakoo yote hakukupaswa kuwa na soko.
Pili, Big Bon ni kituo cha mafuta na hayo magorofa ni ya big bon na hiyo benki iliyonusurika ni ya big bon , mbaya zaidi big bon amejenga maduka ya kawaida kuzunguka kituo kitu ambacho ni hatari sana kwa usalama wake na wenye kuja kununua bidhaa.
 
Huo moto wa mchongo , watu Wana Misheni zao , kariakoo usiende kuchukua frem au stoo kichwa kichwa kabla hujaonana na makontawa , utatiwa hasara moja si ya nchi hii
 
Palikuwa na kituo cha mafuta ila wamesitisha biashara hiyo kutokana na mzunguko kuwa mdogo.
 
Huo moto wa mchongo , watu Wana Misheni zao , kariakoo usiende kuchukua frem au stoo kichwa kichwa kabla hujaonana na makontawa , utatiwa hasara moja si ya nchi hii

Ila si walishaambiwa waondoke [emoji2308]
 
Ingia kwenye mrija nawe unyonye, sio kuonea wivu wenzako
 
Hili eneo mmiliki ni nani? Hapo kariakoo mnadani

Je ni open space?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…