Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Hayo masoko yanachomwa makusudi , kwani ni mara ya ngapi hilo soko la kariakoo linaungua tangia mwaka 2022 uanze mpaka leo , si mara ya tatu hii ?
Ina maana mara zote tu hizo watu hawajajifunza kwamba kuna umafia unaendelea humo ndani ?
 
Kwanini uwake jumapili sasa
kwani moto una siku maalumu ya kuwaka?

Hebu wacheni hizo conspiracies zisizokuwa na tija. Majumba yamesongamana, umeme watu wanajiungia ovyo ovyo bado munaanza na conspiracies za mot kuwaka jumapili.
 
HV Nani aliruhusu kituo Cha sheli kijengwe ktkt ya soko

Huu Ni upupambu Sana hiki tu ni kibaya Sana

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka mno


Sheli ktkt ya soko ,wangeenda kuweka karibu na ikulu Kama wao watataka
 
Yaani hao machinga wajinga wajinga wanaziba mpaka njia unawaita walipa kodi??? Yaani hao wanatakiwa wafukuzwe wote. Yaani haiwezekani hata kupita tu kariakoo eti bega kwa bega. Hivi nani ananunua hizo bidhaa. Siku ikitokea majanga mtasema. Wakifa hata watu mia tano au elfu kisa msongamani ndiyo mtakuja kusema eti serikali haijasaidia. Hao wajinga wote waondoshwe ili kariakoo ibaki peupe
Kwa akili yako Ule mzigo anaouza Machinga ni wake?????[emoji1787][emoji1787] bado hujakua kiakili endelea kujifunza taratibu aisee.
 
Katiba mpya inahitajika haraka! Kwa katiba ya Sasa naviogacea WaTz, hakuna atakayewajibishwa. Ccm na mauzauza hoyee! Endeleeni iuwapigia kura.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kama viwanja havijapimwa wategemea nini?
Nyumba tu zile zilizopimwa kulikuwa na nafasi za ziada wakaja wabongo wakaziziba wakazimiliki na kuunganisha,kujenga kuongeza vijumba
Wakati waliyojenga hawakuwa wapuz kuacha nafasi...

Ova
 
HV Nani aliruhusu kituo Cha sheli kijengwe ktkt ya soko

Huu Ni upupambu Sana hiki tu ni kibaya Sana

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka mno


Sheli ktkt ya soko ,wangeenda kuweka karibu na ikulu Kama wao watataka
Kituo cha mafuta kilikuwaga total tu hapo

We huoni sahv vituo vinajengwa mpaka karibu na makazi

Ova
 
Back
Top Bottom