Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Watu hawakosekani

Ova
Inasemekana ni mchongo
IMG-20231001-WA0044.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuondolewa kwa machinga hakuna uhusiano kwa soko.
Masoko yako mengi ila wanasiasa wanatumia kama wapiga kura wao.
Soko la magomeni lipo wazo , Machinga ipo wazi ila wamezoea kukaa nje na chini, hawataondoka hata kila mtaa kujengwe soko wataendelea kutumiwa na wanasiasa.
huu ni ugonjwa wa nchi zote maskini.
Tatizo ni siasa na wanasiasa.
CCM wakitaka wawatoe Chadema inasema mkituchagua hamtaondolewa
 
HV Nani aliruhusu kituo Cha sheli kijengwe ktkt ya soko

Huu Ni upupambu Sana hiki tu ni kibaya Sana

I wish I could be a president Kuna watu wangetezeka mno


Sheli ktkt ya soko ,wangeenda kuweka karibu na ikulu Kama wao watataka
Kwanza umekurupuka, pale hakuna kituo cha mafuta

Pili hakuna soko pale

Tatu moto umeanzia mnadani
 
Yaani hao machinga wajinga wajinga wanaziba mpaka njia unawaita walipa kodi??? Yaani hao wanatakiwa wafukuzwe wote. Yaani haiwezekani hata kupita tu kariakoo eti bega kwa bega. Hivi nani ananunua hizo bidhaa. Siku ikitokea majanga mtasema. Wakifa hata watu mia tano au elfu kisa msongamani ndiyo mtakuja kusema eti serikali haijasaidia. Hao wajinga wote waondoshwe ili kariakoo ibaki peupe
Daah haya maisha mkiwa na vijisenti kidogo tuu mnadharau wengine maisha ni kutegemeana wanaoleta mizigo Bandarini wanawategemea hao wauzaji ni vile hii chain kuijua mpaka uwe umesoma shule zinazoeleweka sio za magumashi kariakoo ni sehemu ya watu kununua na kutoka inshort maeneo mengi Tanzania hayapo kwenye mfumo sahihi kutokana na ongezeko la watu na huduma kuendelea kuwa Duni...
 
Back
Top Bottom