Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.

Kwa habari Zaidi endelea kufuatilia habari zetu na mitandao yetu ya kijamii.
View attachment 2768214View attachment 2768216
Maharage Chande atauzima
 
Back
Top Bottom