mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Mlitaka uwake ijumaa?Kwanini uwake jumapili sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitaka uwake ijumaa?Kwanini uwake jumapili sasa
nauliza tu mkuu Niko Masaki church hapa.kama unawaka hapo niambieUnataka kusemaje! 🤔
Anajua ndio Mungu akamuonapo naye akatoboamze acha chuki na roho mbaya.
Kwanini uwake jumapili sasa
Kwa nini ustaadh?Safi sana yaani saana
It is so sad tuna 60 yrs ya uhuru- akuna fire fighting water network si Dodoma ambapo mji mkuu upo wala Dar wala Arusha😭😭😭Bila haya makitu kwenye mitaa na barabara zetu Daima tutawalaumu fire dept kwani atupo makini na mipango miji yetuPale ni karibu sana na makao makuu ya jeshi la zimamoto na uokoaji aka "fire".
Hatutarajii watatuma gari isiyo na maji
Miaka ya 80 Dar es salaam karibia yote ilikuwa ma network za maji kwa ajili ya kuzima moto! Mpaka manzese huko kulikuwa na hizi systems, pale kwenye gorofa za Urafiki kulikuwa na fire hydrants kila baada ya forofa moja! Nimetembelea Kigamboni kule kwenye miradi ya nyuma sijaona fire hydrants. Ata Kule Nungwi Zanzibar , Arusha sijaona, Dodoma pia sehem nyingi sijaona- Tanzania tutaendelea kufirisiwa na Majanga ya Moto mpaka pale tutakapo kuwa makini na mipango miji iliyokuwa sahihiMimi huwa najiuliza! Ni matukio machache ambayo jeshi la Zima moto huwa linafakiwa kuzima moto.Na changamoto nayoiona ni kutegemea magari ya Maji.
Hivi Serikali haliwezi kununua ndege za Helkopita za Kuzima moto kama wenzetu huko duniani ambazo zinaweza kuwahi kuzima moto kuliko kutegemea haya magari ya Maji ambayo pengine yakikutana na foleni yanaweza kushindwa kufikia kwenye tukio kwa wakati?
Mama anaupiga mwingi sana yaani saanaKwa nini ustaadh?
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa! Hizo Fire hydrants sizioni kabisa.Miaka ya 80 Dar es salaam karibia yote ilikuwa ma network za maji kwa ajili ya kuzima moto! Mpaka manzese huko kulikuwa na hizi systems, pale kwenye gorofa za Urafiki kulikuwa na fire hydrants kila baada ya forofa moja! Nimetembelea Kigamboni kule kwenye miradi ya nyuma sijaona fire hydrants. Ata Kule Nungwi Zanzibar , Arusha sijaona, Dodoma pia sehem nyingi sijaona- Tanzania tutaendelea kufirisiwa na Majanga ya Moto mpaka pale tutakapo kuwa makini na mipango miji iliyokuwa sahihi
Maji yapo ikuluMiaka ya 80 Dar es salaam karibia yote ilikuwa ma network za maji kwa ajili ya kuzima moto! Mpaka manzese huko kulikuwa na hizi systems, pale kwenye gorofa za Urafiki kulikuwa na fire hydrants kila baada ya forofa moja! Nimetembelea Kigamboni kule kwenye miradi ya nyuma sijaona fire hydrants. Ata Kule Nungwi Zanzibar , Arusha sijaona, Dodoma pia sehem nyingi sijaona- Tanzania tutaendelea kufirisiwa na Majanga ya Moto mpaka pale tutakapo kuwa makini na mipango miji iliyokuwa sahihi
Inasikitisha sanaMkuu nakubaliana na wewe kabisa! Hizo Fire hydrants sizioni kabisa.
Pole kwa wahanga woteHabari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.
View attachment 2768279
View attachment 2768304