Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Haya makitu yanatakiwa yawepo kila mtaa! Gari za Zima moto ziweze jaza maji!. Kitendo cha maji yakiisha kwenda zaidi ya 10KM na kutumia Dakika zaidi ya 30 Kujaza maji uwezi zima moto, maana moto aukusibirii urudi na maji wenyewe utaendelea na kazi yake

Nchi ya hovyo sana hii,utashangaa mabilion yanatumika kununua magari ya gharama wakati yakitokea majanga kama hivi vitenda kazi hamna!
 
It is so sad tuna 60 yrs ya uhuru- akuna fire fighting water network si Dodoma ambapo mji mkuu upo wala Dar wala Arusha[emoji24][emoji24][emoji24]Bila haya makitu kwenye mitaa na barabara zetu Daima tutawalaumu fire dept kwani atupo makini na mipango miji yetu
Hizo hydrant system zilikuwepo mbona,ila zote zimengolewa na kuharibiwa kutokana na ujenzi holela

Ova
 
Nikiripoti kutoka eneo la tukio, nasema hivi serikali ni...

Sina wakili
Wewe SEMA ili kuboresha, Serekali yeti inajisahau sana na kufanya mambo bila tahadhari, unawezaje kuruhusu vibanda vya makaratasi ya nailoni chini ya magorofa !? Angalia hatari ya wakaazi WA magorofani wanayoipata!? Mungu tunusuru na majanga ya kujitakia
 
Watanzania wengi mnakumbuka shuka wakati kushakuchwa mkiambiwa wekezeni mnakomaa na mavitu yenye high risk someni alama za nyakati za serikali mpaka 2030 tutapigwa sana..
 
Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.

View attachment 2768279
View attachment 2768304
Kwa muonekano moto huo utakuwa ulianzishwa na wachoma taka kwani upo katikati ya maduka na ghorofa linalojengwa.
 
It is so sad tuna 60 yrs ya uhuru- akuna fire fighting water network si Dodoma ambapo mji mkuu upo wala Dar wala Arusha😭😭😭Bila haya makitu kwenye mitaa na barabara zetu Daima tutawalaumu fire dept kwani atupo makini na mipango miji yetu
CCM inachoweza ni wizi wa kura na kuitana kwenye madaraka na kukejeli wananchi.

Maswala mengi muhimu yanayogusa maslahi ya raia imeshindwa kuyatatua. Swala la zimamoto ilikuwa ni ishu ya kununua gari za kutosha zikae kila mtaa.
 
Back
Top Bottom