Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Daah mbona una hasira sana wakati TRA wanapita hadi malengo yao wewe Mchimba chumvi huku unawakashifu walipa Kodi...
Yaani hao machinga wajinga wajinga wanaziba mpaka njia unawaita walipa kodi??? Yaani hao wanatakiwa wafukuzwe wote. Yaani haiwezekani hata kupita tu kariakoo eti bega kwa bega. Hivi nani ananunua hizo bidhaa. Siku ikitokea majanga mtasema. Wakifa hata watu mia tano au elfu kisa msongamani ndiyo mtakuja kusema eti serikali haijasaidia. Hao wajinga wote waondoshwe ili kariakoo ibaki peupe
 
Duh

Ova
 
Back
Top Bottom