A
Anonymous
Guest
Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka..
Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama
Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani wanatumiwa vitu vya ovyo sana (chini ya ubora) kwa sababu wapo mbali. Na baadhi yao returning inakuwa ngumu na kingine nilichokisia ni kuwa simu zote wanavyozituma wanajua hii ni nzuri na hii ni mbaya
Grade A imekuwa ni maalumu kwa wakazi wa Dar tu na Grade D na E ni mkoani
Hii ni karaha na ukicheki utafutaji wa hela nao ni mgumu.
Kwanini wasiwe na kifaa cha kupima simu nzuri na mbovu , wao wanalenga faida tu ila si huduma bora kwa mteja haijalishi yuko wapi....