Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo sifa kamwe hazipatikani kwenye fake boots - comfort ,durability , quality ,workmanship, material.........I don't care. Uzuri nikivaa hakuna anayejua nimevaa fake boots. Naonekana nimevaa viatu vya gharama kubwa sana. Huoni mimi ndio mjanja?
Ungekuwa mjanja hata wazo la kuanzisha uzi kuhusu kununua raba lisingekuwepo kichwani mwakoI don't care. Uzuri nikivaa hakuna anayejua nimevaa fake boots. Naonekana nimevaa viatu vya gharama kubwa sana. Huoni mimi ndio mjanja?
Mi nimeuza elfu5 juzi
Let him be. Don't burst his bubble.Zipo sifa kamwe hazipatikani kwenye fake boots - comfort ,durability , quality ,workmanship, material.........
Mbona hiyo ni Feng ChengKariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Enjoy your shoes young man. Tena Dunda kabisa. Let no one dim your lights.I don't care. Uzuri nikivaa hakuna anayejua nimevaa fake boots. Naonekana nimevaa viatu vya gharama kubwa sana. Huoni mimi ndio mjanja?
Yaani kitu cha Feng Cheng kabisaIlo ni box tu. At any time t litakuwa limechanika , usisahau kuleta mlejesho litavyokuwa after one week.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimeuza elfu5 juzi
Bei cheee buku jero halina gharamaa 😂 😂 😂"la kuchumpa' kumbe bado yanatamba!
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...Let him be. Don't burst his bubble.
He is happy with his shoes. He feels like a real champ right now, be happy for him.
Ican imagine the feeling of not being able to afford something then all of a sudden you come across the same shoe at a price you can afford.
Bro wewe ni ngosha kama sijakoseaKariakoo baba lao.