Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Hahahahaha asee kweli mi nilinunua Raba kali kuja dukani nauza 45000
 
Hivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Utofauti upo sana tu labda hujui viatu mkuu. Kitu Og kinaonekana kabisa na ukali wake na fake vilevile hata kwa mbali unajua hii fake trna hivyo vya kariakoo vya elfu tano tano mbona vinaonekana kabisa kua ni fake.
Fake havidumu ukiviosha mala moja tu vinaanza lifubaa.
 
Kuna jamaa alileta uzi kuwa pesa zimetoka kutengeneza gari yake
Sasa akachanganua vifaa alivyonunua aiseee comment za humo alijuta alikuwa kapigwa vibaya na fundi wake huyo wakati yeye kaona kagalaliza kweli
 
Viatu kama hivyo hua vishavaliwa tayari na hua wanasafisha mapema
 
Bas ndugu wenye kujua na kuvaa viatu original tunaomba mtulete mjini sasa,ni maduka yapi yanauza viatu original kabisa na kwa bei zipi? ni vip kuhusu online shops kama kikuu na alibaba zile viatu ni original?
 
Nenda buguruni saa 12 jioni upande wa kimboka na upande wa buguruni chama utakuta raba kibao watu wananunua elfu 5 hadi elfu 10
Kimboka pale kwa machangudoa?
 
Kuna kiatu nilinunua duka flani hivi la wasabato pale Mwenge sijui kama bado lipo, aisee wale jamaa wanauza ngozi original kabisa. Yani kile kiatu mpak sasa hivi bado kiko vile vile na ninavaa kila siku
Hilo duka lipo mwenge sehemu gani?
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia)

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Yaani mkuu hata mimi kuna siku nilikatiza kariakoo nikakuta suruali ambazo kikawaida huwa ni sh.10,000 Ila kule zinauzwa sh. 4,000, nililazimika kununua pamoja na kwamba sikupangilia.
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia)

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Hivyo ni viatu vyako au vya mtoto?
Mbona size 38?
 
Mkuu sasa hiki wamekwambia ni Nike au air jordan au NBA sneakers (hizi sijawahi ona) 😂😂😂ila hiko ni aina gani kwani?
Mbona kama sports fashion hiki cha 7000 aggrey. Sio umetandikwa mkuu
 
Back
Top Bottom