Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Wengine tutajua tu mdosho

Ova
Mi nikaa mdosho hujui ng'o maana navaa kiatu ambacho sio ivyo vinamwangwa kama maembe naenda dukani Bei chee ,mitoko mitatu au minne natemana nacho Maisha yenyewe yako wapi natafuta kingine ,Nina viatu kibao navaa vipya tu vya zamani natemana navyo
 
I don't care. Uzuri nikivaa hakuna anayejua nimevaa fake boots. Naonekana nimevaa viatu vya gharama kubwa sana. Huoni mimi ndio mjanja?
Vinawahi kuharibika , nilinunu 7000, vikaisha ndani ya muda mfupi, nikanunua 65k hata ukivaa unajisikia quality yake , mdundo na vinadumu sana
 
Mi nikaa mdosho hujui ng'o maana navaa kiatu ambacho sio ivyo vinamwangwa kama maembe naenda dukani Bei chee ,mitoko mitatu au minne natemana nacho Maisha yenyewe yako wapi natafuta kingine ,Nina viatu kibao navaa vipya tu vya zamani natemana navyo
Mdosho si muonekano tu
Ukivaa uimara hakuna,hakuna comfortability pia...
Unavaa kiatu unasikia kuungua mguu

Ova
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
dunda nayo tu one wk, utakuja na majibu hapa
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).

famba
 
Dogo navyokujua ulienda Hadi kuwaringia Kobaaz wenzako madrasa
 
Baba yako anavyo?
Mm natupia viatu mzee
Kwenye suala la kupiga viatu wala usiulize.....si unaona mguu huo hapo mpaka sasa una miaka 3.....kitu new balance.....baharia havaagi midosho

Ova
20220819_152945.jpg
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Copy Hiyo kiatu cha mchina hicho, matirio ya chini, utakivaa mwezi TU kishapasuka
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Nimeuza viatu kwa zaidi ya miaka 6 , Nina uzoefu mkubwa wa product hizo
Si mbaya kwa kuwa umekipenda na ukanunua lakini last time kiatu hicho nimejumua 7,000/= na ndo Bei zake
Kama uko tayari kujifunza jinsi ya kutambua viatu original Niko tayari kukuelekeza
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Hiyo kwenye picha ndo Jordan?
 
Comment sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom