Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Wako madem kwa mfano ambao hawataki ukawafanyie shopping kariakoo wanatakaga mlimani city na maduka hayo. Hua nawaangalia mwishowe nawakaanga peku nasepa kabla ya hyo shopping.
 
Mm natupia viatu mzee
Kwenye suala la kupiga viatu wala usiulize.....si unaona mguu huo hapo mpaka sasa una miaka 3.....kitu new balance.....baharia havaagi midosho

Ova
View attachment 2337654
Swagga za kizamani bado una akili za ukoloni miaka 3 kiatu cha nn? Jipende tafuta kiatu miezi kadhaa chukua kipya ,we binadamu jipende kiatu miaka mitatu hata shule sio kiivyo mi ninayo maviatu og wala sivai napenda fashion mpya yaani hata kuvaa converse naona jau Bora nitafute hivi vivans model mpya.

We ni jamaa wa kaskazini nn? Yaani kuvaa manguo mwaka mzima pesa mnazo hamjipendi kwa kweli
 
Attachments

  • Screenshot_20220804-152648.png
    Screenshot_20220804-152648.png
    316.5 KB · Views: 11
Swagga za kizamani bado una akili za ukoloni miaka 3 kiatu cha nn? Jipende tafuta kiatu miezi kadhaa chukua kipya ,we binadamu jipende kiatu miaka mitatu hata shule sio kiivyo mi ninayo maviatu og wala sivai napenda fashion mpya yaani hata kuvaa converse naona jau Bora nitafute hivi vivans model mpya.

We ni jamaa wa kaskazini nn? Yaani kuvaa manguo mwaka mzima pesa mnazo hamjipendi kwa kweli
Hiki nimekiona kkoo elfu 80...ndo bei yake au wamezidisha?
 
Og na fake
Og kina kuzalilisha muda wowte unaweza acha soli barabarani, pia vinababuka magamba haraka ukifua mara mbili tu
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Chunguza icho kiatu sio original mkuu, its fake , Check material yake mkuu..
Kwamsisitizo anza kukivaa leo then after months Check it out and you will see the length of its life
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Hii raba haziwez kuwa 15000 hata kama ni feki au labda aliyekuuzia ni Teja.
 
Ni ipi bei halisi ya kitu chochote ?, Bei inayouzwa Pengine ? Bei iliyotumika katika uzalishaji ? Au Bei ambayo mnunuzi yupo tayari kutoa ? Au Branding na Marketing. Yaani ndala ya elfu mbili ikipigwa chata ya Nike basi iwe elfu 20 ?

Ukijua hayo ya marketing gimmicks basi utagundua kwamba ujanja ni kununua unachotaka kinachokupendeza na kama unao uwezo wa kufanya hivyo wakati huo (Zaidi ya hapo utakuwa unaishi kwa perception za Jamii) na watu wa marketing na product placement wanatumia hizo loopholes...
 
Hii raba haziwez kuwa 15000 hata kama ni feki au labda aliyekuuzia ni Teja.
What do you mean haziwezi ? Kuna vitu ex catalogue kama ni nje na vinaweza kuwa vinajaza tu storage (ambayo ni gharama) hivyo hata kuuzwa kwa mafungu au clearance sale au hata wewe kulipwa ili kufanya disposing..., That said taste ya mtu mimi binafsi hata ukinipa zawadi hizo kuzivaa siwezi itabidi na mimi nizigawe bure (To each his / her own)
 
Since April 2021 mpaka leo December 2024, nadunda navyo. Mammae
 
Back
Top Bottom