vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Hii ni copy pia
View attachment 2337822
Hii sio ya njoo kariakoo....unyama mwingi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2337822
Hii sio ya njoo kariakoo....unyama mwingi!
Swagga za kizamani bado una akili za ukoloni miaka 3 kiatu cha nn? Jipende tafuta kiatu miezi kadhaa chukua kipya ,we binadamu jipende kiatu miaka mitatu hata shule sio kiivyo mi ninayo maviatu og wala sivai napenda fashion mpya yaani hata kuvaa converse naona jau Bora nitafute hivi vivans model mpya.Mm natupia viatu mzee
Kwenye suala la kupiga viatu wala usiulize.....si unaona mguu huo hapo mpaka sasa una miaka 3.....kitu new balance.....baharia havaagi midosho
Ova
View attachment 2337654
Hiki nimekiona kkoo elfu 80...ndo bei yake au wamezidisha?Swagga za kizamani bado una akili za ukoloni miaka 3 kiatu cha nn? Jipende tafuta kiatu miezi kadhaa chukua kipya ,we binadamu jipende kiatu miaka mitatu hata shule sio kiivyo mi ninayo maviatu og wala sivai napenda fashion mpya yaani hata kuvaa converse naona jau Bora nitafute hivi vivans model mpya.
We ni jamaa wa kaskazini nn? Yaani kuvaa manguo mwaka mzima pesa mnazo hamjipendi kwa kweli
Chunguza icho kiatu sio original mkuu, its fake , Check material yake mkuu..Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Hii raba haziwez kuwa 15000 hata kama ni feki au labda aliyekuuzia ni Teja.Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Jina la duka ndio hilo kamanda!?Baba lao ni hakuna mfano
@Kalaga Baho NongwaHii raba haziwez kuwa 15000 hata kama ni feki au labda aliyekuuzia ni Teja.
What do you mean haziwezi ? Kuna vitu ex catalogue kama ni nje na vinaweza kuwa vinajaza tu storage (ambayo ni gharama) hivyo hata kuuzwa kwa mafungu au clearance sale au hata wewe kulipwa ili kufanya disposing..., That said taste ya mtu mimi binafsi hata ukinipa zawadi hizo kuzivaa siwezi itabidi na mimi nizigawe bure (To each his / her own)Hii raba haziwez kuwa 15000 hata kama ni feki au labda aliyekuuzia ni Teja.