Kariakoo pafungwa kupata wa kumsikiliza Rais Samia

Kariakoo pafungwa kupata wa kumsikiliza Rais Samia

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Haya mambo ya kulazimishana kwenda mikutanoni tulishayasahau. Tukadhani nyomi ikikosekana unakubali matokeo ki Lipumba Lipumba.

Kumbe Mambuzi haiko hivyo. Kikinuka wazee mzima wanakomaa!

Fq7Ox4ZXsAE00HH.jpeg

Yamewakuta Kariakoo pichani ni leo saa nane nane mchana. Chawa hawatoshi mkutanoni.

Hapo sasa hata wasiohusika biashara hamna kufungua.

Waende kunakonenwa jambo na mboga mboga huko.

Kazi kweli kweli.
 
Haya mambo ya kulazimishana kwenda mikutanoni tulishayasahau. Tukadhani nyomi ikikosekana unakubali matokeo ki Lipumba Lipumba.

Kumbe Mambuzi haiko hivyo. Kikinuka wazee mzima wanakomaa!

View attachment 2546439

Yamewakuta Kariakoo pichani ni leo saa nane nane mchana. Chawa hawatoshi mkutanoni.

Hapo sasa hata wasiohusika biashara hamna kufungua.

Waende kunakonenwa jambo na mboga mboga huko.

Kazi kweli kweli.

Mbona hakuna mkutano kiongozi wa nchi aliozungumza siku ya leo…??

Machinga wamewahia kuangalia mpira hao.
 
Sijajua ni nani hasa ndio wapaswa kuacha kazi zao na kwenda huko?
 
Utakuta hapo hakuna aliyelazimishwa bali wamehamasishwa. Kwasababu ya uoga na kukosa msimamo, wakaamua kufunga biashara. Ujinga na uoga ni tishio kwa watanznia walio wengi.

Bila hamasa za shurti, wananchi wa hawawezi kwenda. Mama hana mvuto wa kisiasa. Huo ndio ukweli mchungu!
 
Back
Top Bottom