Kariakoo pafungwa kupata wa kumsikiliza Rais Samia

Kariakoo pafungwa kupata wa kumsikiliza Rais Samia

Samia si yupo Dodoma? We bila Shaka ni TADEA unataka kumkashifu rais.
 
Utakuta hapo hakuna aliyelazimishwa bali wamehamasishwa. Kwasababu ya uoga na kukosa msimamo, wakaamua kufunga biashara. Ujinga na uoga ni tishio kwa watanznia walio wengi.

Bila hamasa za shurti, wananchi wa hawawezi kwenda. Mama hana mvuto wa kisiasa. Huo ndio ukweli mchungu!

Taarifa zinasema wamelazimishwa
 
Samia yupo Dar? Naona watu wanakurupuka tu kulaumu lakini mmecheck facts kwanza
 
Back
Top Bottom